NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

Apollo mission ilitumia Saturn V rockets ambazo zilishaanza kutumika tangu 1967 hivyo zilishafanyiwa tests.
Tests za kwenda mwezini na kurudi remotely au unaongelea tests za hapahapa duniani?
 
Watakwendaje wataruka na mabawa kama njiwa? Urusi hawauzii tena RD Engine labda waende mwezi wa Hollywood na mabasi
 
baki hivyo hivyo
 
Kwa nini Wamarekani wafanye igizo la kwenda mwezini ? Wananufaikaje na igizo kama hilo?
 
Punguza ganja mkuu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi unawezaje kuidanganya dunia nzima!? Unawezaje kufanya siri japo lililohusisha maelfu kama sio malaki ya watu wote walioshiriki kufake ile event na kuweza kuwanyamazisha wote wasiongee. Hebu mtu anifafanulie how is this possible.
Hapa unatumia mantiki kwamba unawezaje kuwadanganya watu wote hao.Hii ni ndogo kuliko mantiki nyengine .Kama walikwenda na kurudi mwezini enzi hizo kwanini iwe shida kufanya hivyo sasa.Ukichanganya hilo ulilosema na hoja za waliotilia shaka kutokujibiwa ipasavyo utaona moja kwa moja kuwa hawakwenda mwenzini mwaka 1969.
 
Kwa nini Wamarekani wafanye igizo la kwenda mwezini ? Wananufaikaje na igizo kama hilo?
Faida zilishawekwa wazi kuwa ni mashindano wa nani atakuwa wa mwanzo kwenda mwezini.Kwa kuamini kuwa Marekani ilikwenda mwezini wamefaidika sana kuitawala dunia kwa miaka zaidi ya 50.Kila mtu amependa awe mmarekani na ale wanachokula Marekani.Aimbe na kutembea kama Mmarekani.Uchumi wake umekuwa sana kwa kipindi hicho.Tatizo walicheza faulu ili kushinda. Hata mwanao akipata cheti kwa kuibia mtihani iko siku atajulikana kuwa aliiba pale atakaposhindwa na hesabu ndogo akifika kituo cha kazi.
 
Kwa hiyo wewe unapenda Pepsi au Coca-Cola kwa sababu Wamarekani walisema wamefika mwezini?
 
Watakwendaje wataruka na mabawa kama njiwa? Urusi hawauzii tena RD Engine labda waende mwezi wa Hollywood na mabasi
Duh nimeuliza humu USA amepata Ingine za kwenda huko bila kumtegemea Urusi nikapatiwa majibu mepesi mepesi.,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watakwendaje wataruka na mabawa kama njiwa? Urusi hawauzii tena RD Engine labda waende mwezi wa Hollywood na mabasi
Ami Kuna post umeelezea chombo cha USA kinavujisha hewa wakahairisha safari ya kwanza,ya pili Tena tatizo hilohilo,huoni janja Yao ya kwenda huko kukosa engine Urusi,,,,nyoosha maelezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanarukaruka kama bisi labda waende Hollywood
 
Haya ni mawazo yako wewe sio ya dunia nzima
 
Wanarukaruka kama bisi labda waende Hollywood
Hivi unajua licha ya kwamba teknoloji imekuwa kubwa sana sasa hivi lakini Hollywood haijaweza kutengeneza picha yoyote inayoweza kuendana na mazingira ya space kiujumla
 
Ami Kuna post umeelezea chombo cha USA kinavujisha hewa wakahairisha safari ya kwanza,ya pili Tena tatizo hilohilo,huoni janja Yao ya kwenda huko kukosa engine Urusi,,,,nyoosha maelezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja anayetetea igizo lile la Apollo anasma Apollo zilitumia rocket za Saturn ambazo zilikwishajaribiwa sana kwa hivyo hakukuwa na haja ya kwenda kukagua na kurudi kama mwaka huu. Iwapo ni hivyo basi si wazitumie tena hizo roketi za Saturn.Au walizipeleka wapi na ndio sasa zinahitajika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…