Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA...
Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA wao mawasiliano na picha yalitokea chapchap utafikiri magazeti yalishajipanga na walishapewa picha hata kabla ya tukio. Tafakari hilo kimantiki.
Kisha wakatuambia Dunia ni mduara, inalizunguka jua na kujizungusha yenyewe bila kutudhuru sisi, bahari na vinginevo juu ya dunia... Nshajua wengine mtaniambia 'gravity' - Je ukiweka glass ya maji juu ya mpira wa futiboli afu uuzungushe mambo niaje? Haya basi mtakaosema gravity inatunatisha ardhini tumieni mpira wa sumaku na glass ya bati yenye maji - matokeo yatakuwaje kuhusiana na maji hata kama glass itabaki imenata?
Kisha NASA wakatuambia eti ndo maana ukiifuatilia meli kwa macho toka bandarini inapotea kwa sababu ya dunia kuwa mduara... labda enzi zama hakukuwa na darubini kali, ila leo meli ikipotea upeoni mwa macho na ukatumia darubini utaiona tena... Tafakari hilo kimantiki.
Tafakari lifuatalo - ukisafiri na ndege masafa marefu, marubani wanaipaisha ndege toka airport na wakifikia umbali wa anga wanaohitaji wanawasha kitu kinaitwa AUTO PILOT na ndege inajiendesha hadi watapofika karibu na kutua ndo marubani wanashikilia usukani tena... Sasa kama dunia ni mduara, AUTO PILOT ingefanya kazi???
Mara nyingi naona Elimu ya sayansi inakazana kupotosha ukweli ambao hata dini zinatudokeza, yaani kupingana na Mungu. Ni kama huyo Darwin alivotudanganya twatokea kwa masokwe, lakini hadi leo hii sijawahi sikia sokwe kabadilika kuwa mwanadamu na kaingia mjini.
DUNIA NI TAMBARARE NA IMEFUNIKWA NA BAKULI LA KIOO = ANGA (FIRMAMENT).
Ushahidi wa kisayansi huonekana wakati wakirusha roketi zao afu zinaonekana kugonga kitu na kulipuka. Jiangalizie mwenyewe mtandaoni
Pia ushahidi Bibliani ni mwingi tu na si lazima uwe mkristo mkali au padre kujiuliza kulikoni...
USHAHIDI KUHUSIANA NA ANGA = BAKULI LA KIOO (FIRMAMENT)
Na huyu mwingine ...
Tafsiri maneno yake mwenyewe uelewe ila ntatafsiri mstari wake wa bibliani hapo chini...
Ayubu 37:18 - "Je! Waweza kuzitandaza mbingu pamoja naye, Ambazo zina nguvu kama kioo cha kuyeyushwa?"
Mwanzo 1:6 is: "Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji."
Mwanzo 1:14–15):
"Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka; tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo."
...JUA NA MWEZI HAVIKO MBALI SANA - VIKO NDANI YA DUNIA CHINI YA ANGA ILA NYOTA ZIPO JUU YA ANGA NA NDO SABABU NYOTA HUMEREMETA KA VILE ZIKO NDANI YA MAJI... KIMANTIKI, YAONEKANA ZIPO JUU YA MAJI AMBAYO ANGA ILITENGA MAJI...
JE MDUARA (MPIRA) UNA KONA AMA NCHA NNE?
UFUNUO 7:1 : "Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti."
(Ufunuo wa Yohana 20:8)
"naye atatoka ili kuyadanganya mataifa yaliyopo katika pembe nne za dunia, yaani, Gogu na Magogu apate kuwakusanya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga ulioko pwani."
Isaya 11:12
"Naye atawatwekea mataifa bendera, atawakutanisha watu wa Israeli waliotupwa, atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika, kutoka ncha nne za dunia."
UKITAFAKARI HUU MSTARI (ISAYA 11:12) HAPO JUU... PIA UTAGUNDUA MUNGU NDIE ATAKAE WAKUSANYA WATU WA ISRAELI (SISI) NA KUWARUDISHA ISRAELI ... SIO UMOJA WA MATAIFA AU LORD BALFOUR WALOWAHAMISHA WANAOISHI HUKO LEO HII... NDO UJUE UHUNI NA UONGO WA DUNIA YETU LEO... WAKAZI HAO WA LEO HII NI FEKI.

Angalia huyu mwanasayansi maarufu wa NASA alichotaka kiandikwe kaburini mwake
Zaburi 19:1 "Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake."Na huyu mwingine ...