NASA wanaidanganya dunia tokea zamani, wataalam wa photoshop

NASA wanaidanganya dunia tokea zamani, wataalam wa photoshop

Mtu ambaye ardhi yako ina madini lakini hauna akili za jinsi ya kuyatumia ili yafaidishe kizazi na jamii yako, una umuhimu gani hadi NASA wakuweke kwenye orodha ya watu wa kudanganywa.
Uko sahihi, sasa je sisi kama sisi tumefanya utafiti upi kuliko wao. Au tumekuwa kama wanawake kwamba watafute sisi tuje tuseme tumedanganya wakati hatujafanya utafiti wowote
 
1785007440499.png
Tafakari hii saa ya maenzi zama (SUN DIAL)...je dunia ingekuwa inazunguka ingefanya kazi?

1785007582087.png
Leo hii wenye madish ya satellite - ukishalengesha kuzuri hubadili tena... je dunia ingekuwa inazunguka si ungekuwa kila masaa unalengesha kupya? Hata ya madish makubwa ya makampuni ya mawasiliano yakishalengeshwa kunakoshika satellite angani hayabadilishwi....

 
Mtu ambaye ardhi yako ina madini lakini hauna akili za jinsi ya kuyatumia ili yafaidishe kizazi na jamii yako, una umuhimu gani hadi NASA wakuweke kwenye orodha ya watu wa kudanganywa.
kichwa (title) ya mada ni
NASA wanaidanganya dunia tokea zamani... wataalam wa photoshop

Pia mwenzangu hukufundishwa haya shuleni bongo???
 
Sayansi inaposema haiamini Mungu haimaanishi Wanasayansi hawamuamini Mungu.

Unapoingiza hoja za kiimani kwenye Sayansi huku ukiamini Mungu ni muweza wa yote unaifunga akili yako isiulize au isihoji maswali zaidi.

Utaitazama nyota utasema Mungu kaiweka pale, Utatazama bahari utasema Mungu kaiweka pale.

Sayansi haipo hivyo, Sayansi inauliza maswali kwenye kila majibu yanayopatikana.

Mithali 4:13 - Mkamate sana elimu, usimwache aende.
 


Haya ni maswali ya kisayansi na wala si ya kidini - yakihoji uwezekano ama ukweli wa ile safari ya mwezini tuloambiwa
 
Sayansi inaposema haiamini Mungu haimaanishi Wanasayansi hawamuamini Mungu.

Unapoingiza hoja za kiimani kwenye Sayansi huku ukiamini Mungu ni muweza wa yote unaifunga akili yako isiulize au isihoji maswali zaidi.

Utaitazama nyota utasema Mungu kaiweka pale, Utatazama bahari utasema Mungu kaiweka pale.

Sayansi haipo hivyo, Sayansi inauliza maswali kwenye kila majibu yanayopatikana.

Mithali 4:13 - Mkamate sana elimu, usimwache aende.
Sawa ila sidhani Mungu anatufunga elimu ila katupa akili tupate ujuzi wa kuielewa nature - mazingira yetu NA PIA tuwe na uwezo wa kuchanganua uongo na ukweli.

DARWIN alitukazia eti ni sayansi - tumetokea kwa masokwe, kwangu hii ni nadharia ya mpinga dini kwamba tumeumbwa... na anajaribu kutupia mbali na kutufumba akili kuhusiana na swala lililopo wazi mbele yetu la INTELLIGENT DESIGN - tukitumia akili na kujiuliza, kwa mfano, inakuwaje viumbe tunapumua kwa kuvuta oxygen na kuachia carbon dioxide na mimea inapumua kwa kuvuta tunaloliachia na kuachia tunachopumua - lazma tufikie maamuzi ya kwamba kuna muumba aliunda huu mzunguko.

La pili, huku kukazia dunia ni duara sijui mwezi hivi jua vile... ni kutopotosha tusiamini maandishi yenye mantiki za kisayansi ya kwamba dunia ni tambarare na ina FIRMAMENT. Tunaona rocket zao zinaporushwa zinagonga kitu angani, zinagonga firmament. Nyota zinameremeta kama tochi inayomulika majini, kwa sababu firmament (anga) kimaandishi limegawa maji ... nyota juu ya maji ya angani, ndo kisa kuonekana ivo.... hili pia lina ushahidi wa kisayansi na kidini...
 
Umekaa chumbani Kwa shemeji yako ukisubiri dada yako achapwe Mashine ndio uende kulala.


Unakuja kuleta story za vijiweeni wakati wenzako wamewekeza milion za dollar. Kwanini msije na scientific investigation ya waafrica kuback up hoja zenu badala ya kuja na maneno matupu.
 
Nyie mnaoamini dunia ni flat n kama vile mna matatizo ya akili
ushahidi ni mwingi kuonyesha dunia ni tambarare... kwa hiyo nasi twaeza kusema wanaoamini dunia ni mduara na inazunguka yenyewe kisha kuzunguka jua nk wana matatizo ya akili... hawajiulizi kwa nini kuna siku mwezi na jua vinaonekana pamoja
 
Umekaa chumbani Kwa shemeji yako ukisubiri dada yako achapwe Mashine ndio uende kulala.


Unakuja kuleta story za vijiweeni wakati wenzako wamewekeza milion za dollar. Kwanini msije na scientific investigation ya waafrica kuback up hoja zenu badala ya kuja na maneno matupu.
Mkuu, nahisi unafumbia macho scientific hoja zilizomo ndani humu kwa sababu imani yako imekomalia ulichofundishwa na elimu potofu ilojaa propaganda za kuwafagilia hawa matapeli kama kina Darwin na hadithi zao za masokwe
 
ushahidi ni mwingi kuonyesha dunia ni tambarare... kwa hiyo nasi twaeza kusema wanaoamini dunia ni mduara na inazunguka yenyewe kisha kuzunguka jua nk wana matatizo ya akili... hawajiulizi kwa nini kuna siku mwezi na jua vinaonekana pamoja
Leta ushahidi mkuu.

Kwamba mwezi na jua vikionekana kwa pamoja ni uthibitisho dunia ni tambarare? 😂 Vp na siku zikiwa hazionekani pamoja dunia inakuwa duara au?
 
Leta ushahidi mkuu.

Kwamba mwezi na jua vikionekana kwa pamoja ni uthibitisho dunia ni tambarare? 😂 Vp na siku zikiwa hazionekani pamoja dunia inakuwa duara au?
Haya mkuu ntaanza na swala moja nikirudia - kwa nini ndege za masafa marefu zinatumia auto-pilot... je hilo lawezekana kama dunia ingekuwa mduara??? zamu yangu kucheka
 
Haya mkuu ntaanza na swala moja nikirudia - kwa nini ndege za masafa marefu zinatumia auto-pilot... je hilo lawezekana kama dunia ingekuwa mduara??? zamu yangu kucheka
Na ww unaelewa nn khs auto-pilot?

Kwamba ndege zote zikishafika humo juu n mwendo wa auto-pilot tuu?

Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.

Kwenye hii point yako ushafeli mapema, Leta nyingine

Naona umenikimbia hapo kwenye mwezi na jua vikiwa hazionekani kwa pamoja 😂
 
Wewe kweli unachekesha.

Unasema NASA waongo.

Halafu unaanza kuthibitisha tena kwa vitu vya haohao wazungu, thibitisha kwa mifumo Yako wewe kama mmatumbi.

Youtube MZUNGU
Biblia MZUNGU
 
Wewe kweli unachekesha.

Unasema NASA waongo.

Halafu unaanza kuthibitisha tena kwa vitu vya haohao wazungu, thibitisha kwa mifumo Yako wewe kama mmatumbi.

Youtube MZUNGU
Biblia MZUNGU
Hawa watu ikifika wakati wa kupatwa kwa mwezi hua hawaonekani kabisa 😂

Wao wnyw wanaona kivuli cha mviringo kwenye mwezi ila ndo hvy wanakaza fuvu 😂
 
Back
Top Bottom