Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
- Thread starter
- #41
Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.Na ww unaelewa nn khs auto-pilot?
Kwamba ndege zote zikishafika humo juu n mwendo wa auto-pilot tuu?
Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.
Kwenye hii point yako ushafeli mapema, Leta nyingine
Naona umenikimbia hapo kwenye mwezi na jua vikiwa hazionekani kwa pamoja 😂
hivi unatambua jibu lako nimenukuu hapo juu ndo pointi yangu kwako?
ngoja niangalie ka kuna watu pembeni nataka niangue kicheko ka mwehu... kweli wengine mnabisha kitabia, si kihoja.sasa nakukimbia manake unatisha