Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
- Thread starter
-
- #41
Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.Na ww unaelewa nn khs auto-pilot?
Kwamba ndege zote zikishafika humo juu n mwendo wa auto-pilot tuu?
Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.
Kwenye hii point yako ushafeli mapema, Leta nyingine
Naona umenikimbia hapo kwenye mwezi na jua vikiwa hazionekani kwa pamoja 😂
Sasa badala ulete maana ya hiyo auto-pilot, ww umekuja na ngonjera, kwahy hapa ndo umejibu?Auto-pilot inakuwa kwenye safari ndefu ambayo haitaki kona, n sawa na ww barabarani njia imenyooka ukalala huku umehakikisha steering Ipo imara imenyooka ila ukifika kwenye kona lazima ufanye manual pilot.
hivi unatambua jibu lako nimenukuu hapo juu ndo pointi yangu kwako?ngoja niangalie ka kuna watu pembeni nataka niangue kicheko ka mwehu... kweli wengine mnabisha kitabia, si kihoja.
sasa nakukimbia manake unatisha
Autopilot usifikiri ndege itaenda tu mpaka kukaribia kutua, hapana. Inawekwa autopilot lakin kila baada ya umbali Fulani rubani analazimika ku-adjust altitude. Swali kwako, unadhani kwanini wanaadjust altitude kama dunia ni flat?Haya mkuu ntaanza na swala moja nikirudia - kwa nini ndege za masafa marefu zinatumia auto-pilot... je hilo lawezekana kama dunia ingekuwa mduara??? zamu yangu kucheka
Kwa uelewa wangu, ndege ya masafa marefu inapaa rubani akiendesha, kisha wakifikia altitude wanayotakiwa ama kuruhusiwa, rubani anawasha auto-pilot (= ndege kujiendesha) afu altitude inakuwa adjusted karibu na kutua. Sasa tuseme ndege yatokea bongo kuelekea marekani (mfano) - masaa zaidi ya 15 ndege inajiendesha, sasa dunia ingekuwa mduara - ingekuwa vigumu kwa hilo kutokea kwa masaa yote hayo manake dunia ingekuwa inapinda kila masaa kadhaa...Autopilot usifikiri ndege itaenda tu mpaka kukaribia kutua, hapana. Inawekwa autopilot lakin kila baada ya umbali Fulani rubani analazimika ku-adjust altitude. Swali kwako, unadhani kwanini wanaadjust altitude kama dunia ni flat?
Nimesoma mahali kwamba, rubani Hana haja kufanya manual adjustment ya altitude ili kufata earth curvature, kwa sababu gravity na airpressure naturally vinafanya ndege ifate mkunjo wa dunia. Sijui umeelewa? Au nifafanue zaidi!?Kwa uelewa wangu, ndege ya masafa marefu inapaa rubani akiendesha, kisha wakifikia altitude wanayotakiwa ama kuruhusiwa, rubani anawasha auto-pilot (= ndege kujiendesha) afu altitude inakuwa adjusted karibu na kutua. Sasa tuseme ndege yatokea bongo kuelekea marekani (mfano) - masaa zaidi ya 15 ndege inajiendesha, sasa dunia ingekuwa mduara - ingekuwa vigumu kwa hilo kutokea kwa masaa yote hayo manake dunia ingekuwa inapinda kila masaa kadhaa...
ningependa ulete uliposoma...Nimesoma mahali kwamba, rubani Hana haja kufanya manual adjustment ya altitude ili kufata earth curvature, kwa sababu gravity na airpressure naturally vinafanya ndege ifate mkunjo wa dunia. Sijui umeelewa? Au nifafanue zaidi!?
ningependa ulete uliposoma...
Kielimu na kimantiki - gravity inaingia wakati engine ya ndege imekufa na inaanguka freely, la sivo engine inaendesha ndege bila kudhuriwa na gravity.
Naam maana huko ndio Kuna sungura na fisi nyingi sanaUmejenga hoja vizuri kabisa ila ulipoingiza habari za biblia ndio ukaharibu