NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

Au hawataki tu kwenda mwezini, baada ya kugundua kuwa hakuna cha maana huko...
Just my thoughts.....
 
ndugu, binafsi sipendi comment za kashfa, ila nakupa maarifa kuwa calculatuon za vitu ambavyo havipo huwezekan kwa kucalculate equivalents
 
Don't tell me sky is the limit while there's foot print on the moon.
 
Ahsante na ubarikiwe agiza healtho nakuja lipia
 
Hata babu yako aliyelala mauti miaka ya 1800's akiamka leo akakuta technology ya watsup video call hataamini cha msingi na wewe thibitisha kisayansi kwa nini huu ni uongo.
 
Safi sana mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mbona kama unalazimisha watu waamini story ambayo na ww umesimuliwa, kinaachoongelewa hapa ni kwamba, NASA wanaweza kukudanganya pia kama walivokudanganya wamefika mwezini. Kama mwezi ndo object kubwa iliyokaribu na dunia na hawajafika unaamini vipi kuhusu kufika mars

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hata babu yako aliyelala mauti miaka ya 1800's akiamka leo akakuta technology ya watsup video call hataamini cha msingi na wewe thibitisha kisayansi kwa nini huu ni uongo.
Ongea fact ww, swala sio kuamini, swala ni kuprove fact

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ilinibid niwaache kidogo hawa watu maana palikuwa na lugha gongana nauliza hiki najibiwa kile
Watu wanaamini kila kitu mzungu anachowaambia, ukiwaambia umeme ulikuepo afrika misri kabla hata ya mzungu hajafika mtu atakubishia hadi kesho. Na wakati ushahidi upo kwenye pyramids, ila wazungu wama story ambazo hazina ushahidi ila watu wanaamini

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nimesimuliwa wapi mkuu kwani umesikia hiyo ni history, sayansi mzee haisimuliwi tu hivihivi lazima uje na proven facts with mathematical formula ndio utaeleweka yani ningekuona unamuelekeo flani hivi wa sayansi ningekupigia lecturer ya rocket science na orbital mechanics nikuonyeshe ni jinsi gani watu wanafika huko sayari ya mars lakini kwa bahati mbaya sana na wewe ndio walewale closed minded people yani kila kitu nyie mnadanganywa kila kitu kwenu nyinyi lazima tu mkitengenezee conspiracy theories, mtu anabisha watu kupeleka vyombo sayari ya mars wakt ni jambo linafanywa kila siku na mataifa mbalimbali mrusi,mchina,marekani,muarabu(UAE) wote hao wameshapeleka vyombo huko kwahiyo tuseme mataifa yote hayo walikaa kikao wakakubaliana waje wakundanganye kwamba washawahi kwenda mars?
Halfu kingine safari za kwenda mwezini watu washapeleka sana tu vyombo vyao ambavyo havina watu (unmanned spacecrafts) ila ishu inayotia watu shaka ni kwamba marekani kuwahi kupeleka watu mwezini na kuwarudisha duniani hilo ndio watu wanajadili kwamba ni hoax lakini sio kwa unmanned spececrafts mana hata mchina,mrusi washapeleka spececrafts zao huko mwezini ambazo hazijabeba watu.
 
Wewe kama ww umeshuhudia au wamekubrain wash huko na ww unakuja kutupiga kamba.
Cha msingi lete fact bro. Maelezo ya mzungu tu hayatoshi ku prove kitu. Aminisha watu kwa fact

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
hivi umewahi kujiuliza sattelite zilizopo juu zina kwenda kwa mwendo gani!!? je kama mwendo huo ukipungua nini kinatokea!!? na mwendo huo ukizidi nn kinatokea!!? unafahamu dunia inazunguka jua kwa mwendo gani kwa saa!!? na inazunguka mwendo gani ikiwa inajizungusha kwenye muhimili wake kutengeneza usiku na mchana!!? umesha wahi kufuatilia baadhi za vyombo mwendo wake vikiwa safarini nje ya dunia kuzuru anga!!? na hapa duniani umesha wahi sikia chombo kilicho vunja rekodi ya mwendo wa aridhini kilikua kinakwenda mwendo gani kwa lisaa limoja!!? mambo ni mengi muda ni mchache
 
I got you...
Inawezekana.
 
Yote hayo umefundishwa au kusikia ila hujaona. Ndo kitu tusichotaka

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano nikikwambia prove kua kuna chombo anga la juu karibu na jua. Utaanza ooh unajua ndo tulivoambiwa. [emoji23]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni kitu hakiwezekaniki, ila kabla ya kumpinga ngoja tutafute ukweli tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…