Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah si kweli mkuu, majambazi wengi wanavaa suti.Hili swala la uniforms za majeshi kuna watu wanalichukulia kimzaha sana lakini lina umuhimu mkubwa sana kuwazuai askari tu ndo wavae nguo zao. Hivi karibuni tumeona mlipuko wa wimbi la majambazi. Tukiruhusu hizi uniforms zizagae kwa wananchi majambazi nayo yatatumia mwanya huo huo na hatajulikana nani askari na nani si askari.
Aah si kweli mkuu, majambazi wengi wanavaa suti.
Wanasheria watapangua, si mimi ila pale mwanzoni naona kabisa inaestablish msingi wa kosa. "For the purpose of..." kama wakili akiweza kuthibitishi beyond any reasonable doubt kuwa purpose haikuwa hizo zinazotajwa au haikuwa na ubaya wote, the guy walks! Mind you, I am not a supporter of civilians throwing-on military attire FOR ANY PURPOSE. Naongelea tu s uzoefu wa jinsi serikali imekuwa ikishindwa kesi nyingi kwa kigezo cha makosa na udhaifu wa sheria husika.
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.
Habari zaidi zitafuata.
![]()
Ukiwa msukule ni shiiida! Sasa hapo tena polisi wamekosea nini?!
Any update on what happened au bado anahojiwa?
ila sheria znaruhusu endapo alikuwa na kibari nothng to judge kuhusu ilo
Nashangaa mijitu inayo mdisi jamaa ! kama itaendelea ivo aisee tanzania kila kitu tutabak nyuma aisee wandugu
Kwa nn za magereza hawavai?
show zenyewe back up cd badala ya kuweka live band. diamond mwenyewe hajui hata kupiga filimbi ndio stars wa bongo!MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.
Habari zaidi zitafuata.
![]()