Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo
kwenye motive mkuu cort hailumuhukumu kwa motives za kilaghai. walisema hata kama alikuwa hana nia ya kutumia vibaya magwanda such as kufanya uharifu , na alitaka kuzitumia kwa wema tu lakini he shall be sentenced according. Tena cort ilitoa vizuri sababu ya hukumu kwamba si kwasababu ya yaliyopita Bali ni fundisho kwa wengine.
Hazikuwa halisi zilifanana
WaTanzania kama misukule yani.., hamna kazi za kufanya??!! damn it!
purposive approach itatumika kutafsiri hapo hawez chomoka, tutaangalia lengo la kuitunga sheria ilikua n nn na hapo lengo n kuzuia kuvaa hzo nguo kwa m2 asokua asikar, lazima atiwe nguvun kama wakiamua
Umetsh Mkubw, Waambie
hiyo ndo bongo bwana...mwizi wa kuku anapigwa mwaka jera na yule wa bilion 100 anapigwa faini ya laki 5tegemea faini tu hapo mchezo kwisha
tegemea faini tu hapo mchezo kwisha
Kwa nn za magereza hawavai?
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.
Habari zaidi zitafuata.
![]()
the National Security Act provides that;
6.-(1) Any person who, for the purpose of gaining or assisting any other person to gain admission to a protected place or for any other purpose prejudicial to the safety or interests of the United Republic-
(a) without lawful authority uses or wears any uniform of the Defence Forces or of the Police Force or any other official uniform of the United Republic or any uniform so closely resembling the same as to be likely to deceive, or falsely represents himself to be a person who is or has been entitled to wear or use any such uniform; or
.............
......................
..............
shall be guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding twenty years......
KWA SHERIA HII HAKUNA KITU HAPO....