Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

Any update on what happened au bado anahojiwa?
 
Wamemuita wamuone tu si unajua star yule wengi wanamuona kwa Tv tu
 
Aah si kweli mkuu, majambazi wengi wanavaa suti.
 
Nashangaa mijitu inayo mdisi jamaa ! kama itaendelea ivo aisee tanzania kila kitu tutabak nyuma aisee wandugu
 
kama aliataka kuvaa ngua za jeshi si angevaa za mabaka meupe kama zile za jeshi la marekani? au ni kosa kisheria kuvaa nguo za jeshi hata la marekani au la russia?
 

purposive approach itatumika kutafsiri hapo hawez chomoka, tutaangalia lengo la kuitunga sheria ilikua n nn na hapo lengo n kuzuia kuvaa hzo nguo kwa m2 asokua asikar, lazima atiwe nguvun kama wakiamua
 
Apigwe viboko 12 Uwanja wa taifa na iwe fundisho kwa wengine ? kwani Gauni lake aliazima nani ?
 
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata.


utaskia wanamtafuta wakati kavunja sheria
 
Akili ndogo... Wanashindwa kuelewa kwa nini jeshi linazuia uvaaji wa sare zake kwa wasiohusika.
 
ila sheria znaruhusu endapo alikuwa na kibari nothng to judge kuhusu ilo

Hakuna kitu kama hicho, jana kuna mkubwa mmoja wa jeshi aliulizwa na radio 5, akasema yeye hajawahi kusikia sheria hiyo hapa tz kama kuna kibali mtu anapewa ili kutumia sale hizo!! Labda we mwenzetu unajua zaidi yake
 
Huu ni upuuzi ambao upo nchi zetu tu kuwa mtu akiivaa vazi la jeshi ni kosa - ni dallili kuwa bado tupo ukingoni wa kutoendelea - ni kosa mtu kutumia mavazi kwa njia ya kihalifu. Nchi zingine kuna maduka yanauza nguo hizi
 
Nashangaa mijitu inayo mdisi jamaa ! kama itaendelea ivo aisee tanzania kila kitu tutabak nyuma aisee wandugu

ebu fafanua zaidi,wasipo mdisi maendeleo yanakujaje?.Lililo wazi ili kuwepo maendeleo nilazima ziwepo nguvu kinzani
 
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata.

show zenyewe back up cd badala ya kuweka live band. diamond mwenyewe hajui hata kupiga filimbi ndio stars wa bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…