Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Point yangu ilikuwa 'upendo wa dhati' peke yake, hayo mengine sikuyaangalia.Tuzo gani na kasema yuko na ex muwe mnaelewa kauli ya mkuki kwa nguruwe au mwizi aibe lkn akiibiwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yangu ilikuwa 'upendo wa dhati' peke yake, hayo mengine sikuyaangalia.Tuzo gani na kasema yuko na ex muwe mnaelewa kauli ya mkuki kwa nguruwe au mwizi aibe lkn akiibiwa....
Watu mna hasira relax DemiNigaie wa kwako basi 🤪
Ila bibi jamaniiiii, sio kwa sahivii, hiyo ilikua zamaniiiiMmenikumbisha zamani, enzi niko na hekaheka za mahaba eehehehehe....
Nilifanya huu umafia, hivyo namuelewa mtoa mada na kwangu ilifanya kazi asilimia elfu na nilipata mrejesho.
Kwangu ilikuwa hivi....
Niko zangu nimetulia kigori naendesha maisha yangu, akaja jamaa tabasamu la Kasinde na sauti vikamzingua, akaniimbisha weeeh hadi nikaingia boksi. Kosa langu kabla sijamfahamu vya kutosha wasifu, wandani na hulka yake nikazama mazima.... hatukufunga ndoa nilachomoka ila chamoto nilikiona....
Siku ya kwanza namvulia chupi, japo nilimuweka kona tupime VVU kwa mbinde sana alikubali, nakumbuka tulienda agakhan eehehehee huu ulikuwa mtihani wangu mkubwa maana najua ndomu itaacha kutumika baada ya mwezi tuu sasa hapo kama hujajua afya yake unaanza kufa kihoro. Mweeh wacha nifupishe kidogo maana najikuta naelezea bwereree akati hapa nachangia mada tuu...
Siku ya kwanza ya chezo jamaa hakufanya kosa, alinipa maufundi nikabwaga moyo na akili, alipoona ashaniweka mateka wake sichomoki, nikaanza ona makucha yake, sms za wanawake kibao huyu mmoja nikabanana nae achague huyo mwanamke au mimi. Akajitetea ooh hatujagombana siwezi muacha na yeye ndo alitangulia kuwa nae kwenye mahusiano, mimi nilikuja tongozwa baadae....eehehehe....
Nikaona huyu ananichezea, kuniacha hataki kumuacha huyo mwanamke wake hataki, nikamfata kijana mmoja (mchaga) alikuwa ndo ametoka kuachana na gelofrendi wake, nikampatia namba ya simu, picha, anakoishi, anakofanya kazi, na wasifu wa dada. Huyo dada alikuwa binti wa kutoka Kigoma, alikuwa mrembo kweli nahisi alichanganya na unyarwanda akati Kasinde hapa no tako no wati, tabasamu tuu...[emoji849][emoji849]
Ilifanya kazi huyo dada akakolea kwa huyu kijana wa kichaga akamuacha jamaa wangu nikabaki nakula mtulinga pekeyangu. Hivyo mbinu anayotaka kuitumia mtoa mada kwangu ilifanya kazi ila sasa.... jasiri haachi asili.... ni kweli yule dada waliachana ila ilifungua milango kwa wanawake wengine... ni mwanaume ambae hawezi kaa na uhusiano wa wanawake 2 au 3... yeye ni bunch of ladies.....[emoji33][emoji33][emoji33]
Yakanishinda nikabwaga manyanga.
Kila la kheri mtoa mada.
Kasinde Mahaba Matata [emoji6].
Ni hatari MjukuuUtagawq card ya TPB babu,ile pension yako inapita kila mwezi😄
Haswaaaa!! Njiaa siyo sahihi ktk kusolve jambo lake.Kabisa Mamy katumia njia mbaya kumaliza tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Na ukionaa wanawakee au mwanamke amerelax kwenyee usaliti hasa kwa dunia ya sasa ujuee anacheat back...[emoji1][emoji1][emoji1]wenyewe wanasema ubaya ubwelaa[emoji119][emoji119]
Bibie kama bado uko unalia nitafute basi nikupozeNimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!

Eti bunch of ladies 🙌Mmenikumbisha zamani, enzi niko na hekaheka za mahaba eehehehehe....
Nilifanya huu umafia, hivyo namuelewa mtoa mada na kwangu ilifanya kazi asilimia elfu na nilipata mrejesho.
Kwangu ilikuwa hivi....
Niko zangu nimetulia kigori naendesha maisha yangu, akaja jamaa tabasamu la Kasinde na sauti vikamzingua, akaniimbisha weeeh hadi nikaingia boksi. Kosa langu kabla sijamfahamu vya kutosha wasifu, wandani na hulka yake nikazama mazima.... hatukufunga ndoa nilachomoka ila chamoto nilikiona....
Siku ya kwanza namvulia chupi, japo nilimuweka kona tupime VVU kwa mbinde sana alikubali, nakumbuka tulienda agakhan eehehehee huu ulikuwa mtihani wangu mkubwa maana najua ndomu itaacha kutumika baada ya mwezi tuu sasa hapo kama hujajua afya yake unaanza kufa kihoro. Mweeh wacha nifupishe kidogo maana najikuta naelezea bwereree akati hapa nachangia mada tuu...
Siku ya kwanza ya chezo jamaa hakufanya kosa, alinipa maufundi nikabwaga moyo na akili, alipoona ashaniweka mateka wake sichomoki, nikaanza ona makucha yake, sms za wanawake kibao huyu mmoja nikabanana nae achague huyo mwanamke au mimi. Akajitetea ooh hatujagombana siwezi muacha na yeye ndo alitangulia kuwa nae kwenye mahusiano, mimi nilikuja tongozwa baadae....eehehehe....
Nikaona huyu ananichezea, kuniacha hataki kumuacha huyo mwanamke wake hataki, nikamfata kijana mmoja (mchaga) alikuwa ndo ametoka kuachana na gelofrendi wake, nikampatia namba ya simu, picha, anakoishi, anakofanya kazi, na wasifu wa dada. Huyo dada alikuwa binti wa kutoka Kigoma, alikuwa mrembo kweli nahisi alichanganya na unyarwanda akati Kasinde hapa no tako no wati, tabasamu tuu...🙄🙄
Ilifanya kazi huyo dada akakolea kwa huyu kijana wa kichaga akamuacha jamaa wangu nikabaki nakula mtulinga pekeyangu. Hivyo mbinu anayotaka kuitumia mtoa mada kwangu ilifanya kazi ila sasa.... jasiri haachi asili.... ni kweli yule dada waliachana ila ilifungua milango kwa wanawake wengine... ni mwanaume ambae hawezi kaa na uhusiano wa wanawake 2 au 3... yeye ni bunch of ladies.....😱😱😱
Yakanishinda nikabwaga manyanga.
Kila la kheri mtoa mada.
Kasinde Mahaba Matata 😉.
🤣🤣🤣kwa hiyo babu huku joto la mdomoni huku unapulizwa kaubaridi ka pipi kifua si huwa unapiga yowe babu jamani?jivukuu vya Mkapa vitakutoa roho hiviNi hatari Mjukuu
Wana ile style ya kuimba na maiki halafu wanaipuliza hivi wakati huo anamung'unya Pipi kifua
Yaani kwa Wazee wa Umri wangu, nisingeshauri ukutane na hawa watoto, unaweza kujikuta Kila anachokuomba muda huo unampatia tu
Babu naomba password yako ya TPB.....nawe Kwa zile raha unataja tu 23****
Akili zikikurudia baada ya lile tendo unakuta binti ameshahamisha milioni zako za Pension 🙌
Bora tumezeeka sasa 😜
Sema basi jamaa alikufanya niniNyiee wanaumee nyieee bas tuuu...usaliti unaumaaaa🙌
ikiwa hapati kutoka kwako unadhani ndiyo ataondoka huko kwengine? Na anaweza kutafuta replacement.To hell. Bora tukose wote.
Anakuja huku anajifanyishafanyisha kunitamani wakati ashakula huko na kushiba.
Ni hatari Mjukuu🤣🤣🤣kwa hiyo babu huku joto la mdomoni huku unapulizwa kaubaridi ka pipi kifua si huwa unapiga yowe babu jamani?jivukuu vya Mkapa vitakutoa roho hivi
Mtafute Nyundo JrNimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Mzee mwenzangu mimi sina uzoefu sana na watoto wa 2000. Nakula mali safi za 35 huko...sina shida na mtu🤣🤣Ni hatari Mjukuu
Ndiyo maana nimetoa tahadhali Kwa Wazee wa Umri wangu akina ERoni wakifanya masihara wakakutana na hawa watoto wa 2000, hakiyanani watajikuta wagawa urithi bila kupenda 🤗
Hyo ni suna kwa mwanaume....mwache baba wa watu akete maujuzi mapya kwenye ndoaUshenzi hakufanya na mie. Alifanya na wengine nikaujua.
Ni mwezi mchanga i agree lakini ni mtu loyal sana na ananijali.
And for the record, mi sijamganda huyu bwana. I am just not stupid enough kuacha familia tuliyojenga ivunjike kisa ameamua kugusanisha vikojoleo huko nje.
Mwanamke mwenye hekima huwa hashangai mumewe akimcheat ndivyo tulivyo haturidhiki na K moja
Mfano mzuri ni aliyekuwa raisi wa Marekani Bill Clinton kwa miaka 2 alikuwa akimcheat mkewe Hillary Clinton kwa kutoka na secretary wake.
Na mkewe Hillary alijua lakini hakujihangaisha na mambo kama hayo unataka kufanya wala hakudai talaka kwa sababu alijua ndivyo tulivyo mwaka huu ndoa yao inatimiza miaka 49
Uzuri ni kwamba wanaume tunacheat with no emotions ni tamaa tu ndio maana tukishamwaga tamaa zinaisha ila upendo wetu kwa wake zetu unabaki palepale
Men are polygamous by nature