Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hakika mkuu avumilie tu atazoeaMuache ajichanganye.
Hata akudai talaka akaenda Kwa Mwingine mambo NI yaleyale.
Bahati nzuri Wanaume tunafanana Dunia kote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu avumilie tu atazoeaMuache ajichanganye.
Hata akudai talaka akaenda Kwa Mwingine mambo NI yaleyale.
Bahati nzuri Wanaume tunafanana Dunia kote.
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
ChaiNimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
DuuhHuyu hajawahi kupigwa matukio ya kufululiza. Yaani unapigwa matukio kiasi kwamba mwili na moyo vinakufa ganzi hata uitwe njoo umuone mumeo huku ananyanduana na mtu nyumba ya jirani ndo kwanza unavuta blanket unakoroma vizuri kabisa.
😂😂😂😂😂😂😂Saa Tisa usiku umeamka mwiba umechachamaa kama unataka kuchoma ukuta!unaisogelea nyama unaanza na mpapaso kwenye paja!
Unashangaa anaruka kama chura eti Hana mood mara anaumwa!aiseh mwiba Ili ulale Hadi uruke kichura nje huko ndio ulale!!
Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?
Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?
Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.
Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.
Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.
Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.
Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
Hakika mkuu avumilie tu atazoea
Utateseka sana,wanawake tambueni wanaume ni polygamys,utamuachisha kwa huyo binti atatafuta mwingine tena and the circle continues.
Hahaha........... hongera sana Mzee mwenzangu, Mimi nilijaribu wote wa 90' na hao wa 2000Mzee mwenzangu mimi sina uzoefu sana na watoto wa 2000. Nakula mali safi za 35 huko...sina shida na mtu🤣🤣
aiseeeHahaha........... hongera sana Mzee mwenzangu, Mimi nilijaribu wote wa 90' na hao wa 2000
Nimegundua Kwa umri wangu Bora niendelee na Wazee wenzangu wa Mwaka 47, nikienda na hao wenye 35 na 20' naweza kupandisha Kisukari na Pressure katikati ya pambano 😜
Hapo kuna kitu unakitafuta we ma x mpaka sasa hivi na wewe wa nini wakati umeshaolewanimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini
Machozi enda na majiiii

Bora tumezeeka sasa 🙌aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mtibelii jamaniiii.Amfuate Afande ampe ABC.
Watu wanamlaumu Afande lakini zile ndîzo adhabu wanazostahiki wezi wa wènyewe. Hayo màtukio mtaani yapo mengi NI vile hayaripotiwi kwèñye media
Azoee asizoee hawezi Kuzuia hiyo.
Akitaka naye a-cheat ili wapoteze na kuvunja Ndoa na kîla Mtu apite kivyake ila lazima Alelewe hata Huko anapoenda mambo NI yaleyale.
Mwanaume atajitahidi Sana lakini mwisho lazima ashwinde kuwa na Mwanamke mmoja,
Aidha ageuke haramia au abaki ndoani
Mengine yote achiwe mwenyewe, hapo kwenye kulia bafuni ndiyo atume ka video kwa faida ya members...Machozi enda na majiiii
Bafuni kuna mambo mengii duuu![]()