Nasema hivi, Mume anauma!

Ila bibi jamaniiiii, sio kwa sahivii, hiyo ilikua zamaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utagawq card ya TPB babu,ile pension yako inapita kila mwezi😄
Ni hatari Mjukuu

Wana ile style ya kuimba na maiki halafu wanaipuliza hivi wakati huo anamung'unya Pipi kifua

Yaani kwa Wazee wa Umri wangu, nisingeshauri ukutane na hawa watoto, unaweza kujikuta Kila anachokuomba muda huo unampatia tu

Babu naomba password yako ya TPB.....nawe Kwa zile raha unataja tu 23****

Akili zikikurudia baada ya lile tendo unakuta binti ameshahamisha milioni zako za Pension 🙌

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Bibie kama bado uko unalia nitafute basi nikupoze
 
Eti bunch of ladies 🙌

Bora uliondoka mapema, ungechelewa angekuletea yule mgeni aliyeimbwa na Captain Kombe miaka ile
 
🤣🤣🤣kwa hiyo babu huku joto la mdomoni huku unapulizwa kaubaridi ka pipi kifua si huwa unapiga yowe babu jamani?jivukuu vya Mkapa vitakutoa roho hivi
 
To hell. Bora tukose wote.

Anakuja huku anajifanyishafanyisha kunitamani wakati ashakula huko na kushiba.
ikiwa hapati kutoka kwako unadhani ndiyo ataondoka huko kwengine? Na anaweza kutafuta replacement.

Just thinking aloud dear!
 
🤣🤣🤣kwa hiyo babu huku joto la mdomoni huku unapulizwa kaubaridi ka pipi kifua si huwa unapiga yowe babu jamani?jivukuu vya Mkapa vitakutoa roho hivi
Ni hatari Mjukuu

Ndiyo maana nimetoa tahadhali Kwa Wazee wa Umri wangu akina ERoni wakifanya masihara wakakutana na hawa watoto wa 2000, hakiyanani watajikuta wagawa urithi bila kupenda 🤗
 
Mtafute Nyundo Jr
 
Ni hatari Mjukuu

Ndiyo maana nimetoa tahadhali Kwa Wazee wa Umri wangu akina ERoni wakifanya masihara wakakutana na hawa watoto wa 2000, hakiyanani watajikuta wagawa urithi bila kupenda 🤗
Mzee mwenzangu mimi sina uzoefu sana na watoto wa 2000. Nakula mali safi za 35 huko...sina shida na mtu🤣🤣
 
Hyo ni suna kwa mwanaume....mwache baba wa watu akete maujuzi mapya kwenye ndoa
 

Muache ajichanganye.

Hata akudai talaka akaenda Kwa Mwingine mambo NI yaleyale.
Bahati nzuri Wanaume tunafanana Dunia kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…