Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Ila hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana

Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?

Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌

Bora tumezeeka sasa 🤗
Hawezi kuwa na balaa zaidi yangu bwana. Hilo nalijua; basi tu wanaume ni fisi. Aaarghhh
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Mpe uhondo mumeo hakuna mwanaume wa mke mmoja shenzi yaani ngozi zilivyonyingi na nyeupe huko nje

Tuziangalie tu??? Are you damt tutapiga pipe tunarud nyumbani
 
Kosa unalo fanya ni kuficha Mali.
Toa Mali tena kipindi hiki ungeitoa kwa mwamba kiukweli kweli kama paka shume la bar.

Ila naona mwamba ndio anashinda maana kwako kalamba na huko anaenda kulamba, akimaliza anarudi kwako anakulamba tena, ukikataa atasema ataweka Siri kwa mwamba.
Naanzaje na moyo umevunjika Mkuu. Mi nataka aachike tuanze upya kujenga maana sahv ndoa hamna hapa. Naumiaaaa
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Hata haumi kama unavyo dhani , zaidi sana ni ule ubinafsi tulio jaliwa sisi binadamu ndio umekupelekea kuona kuna maumivu kile kilicho chako kikawa kina tumiwa na mwingine.
 
Back
Top Bottom