Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Unajua ulichokifanya sio solution,
Ulitakiwa u deal na huyo Mumeo,
Utaweza kuwamaliza wanawake wote wanaotoka na mumeo?
Kusanya ushahidi usio na shaka kisha weka kikao cha familia za pande zote mbili,

Mumeo asipobadilika unayo haki ya kuomba talaka,usisubiri mpaka aje akuletee maradhi.
Familia tena. Yaani tukatangaze issues zetu kwa familia? Hapana kwakweli
 
Huwa nasema, ukikuta Me ana ndoa na mkewe kwa miaka zaidi ya kumi bila kutoka nje ya ndoa, hakika huyo ni malaika. Ninaweza kuhitimisha kuwa 99% ya wanaume wenye ndoa za 10+ wamewahi kucheat at least once.
 
Ooooh kumekuchaaaaa!!!
Mdada anajua kuwa huyu baba ni mume wa mtu, afu anadate nae, useme hayuko kikazi kuharibu ndoa yako, uko serious?

Hiyo farajaa kwa vijana wenzie ameikosaa au haipatii? Sasa mie ndo nakuambia wazi, huyo dada kwa mumeo kafata pesaa na uhakika wa matunzo, atafanya kila awezaloo ili mumeo aendelee kubaki kwake?

Kwanini siku zote hukuwahi jua km unasalitiwa, ila hizi week 2 umejua? Bas jua kuna sehem huyu mdada kagusaa kwa mumeo, na mumeo amezama na kujisahau kujilinda had wee umestukiaa.

Unadhani hawa wanaofikia hatua ya kuharibikiwa, inaanzajee? Ndo km hivi mdogo mdogo, kuja kustukaa huna chakoo, na ushachelewaa zamaniii.

Nikupe ushauri km dada angu, kaa chinii tafakari, wapii ulikwamaa ktk ndoa yako had mumeo kutoka nje, ukiona hupati jibu, kaa na mumeo akuelezee, huenda mkapata suluhishoo.

Ukijifanyaa kupuuziaa, iko siku utakujaa kuliaa, kamasi zifike miguuni.

Narudia tenaa, kaa kimastaa na ndoaa yakoo.
Bonge la ushauri!!! Nimekupenda bure
 
Huyu ex yupo tu na sio kwamba eti sisi ni marafiki mabeste. Ila kwa kazi hii ya kishenzi yeye ndo niliyemfikiria.
Ume panic unapita njia ndefu sana.

Chukua simu yako mpigie huyo mtoto wa 2000, ongea nacho sauti flani hivi tulivu ya kimamlaka, usikohoe wala sauti kukwaruza hata kidogo, make sure umekunywa maji ya kutosha koo limekaa sawa kabisa.

Kaonye kaambie nakufahamu kwa sura mpaka unapokaa, nikijua bado una wasiliana na mali yangu nitachokufanya usinilaumu, wewe bado mtoto mdogo sana.

Hakikisha usiitaje njia uliyotumia kujua mambo yao, kaache kajiulize na kujijibu kenyewe. Huku wewe ukiendelea kufuatilia kama bado wanaendelea na mchezo wao.

Call her, wacha kuchezea pesa kumpa uliyempa, katoto kanaweza kumuelewa kisha kamgeuze mumeo mchepuko mara ya pili.
 
Huyu ex yupo tu na sio kwamba eti sisi ni marafiki mabeste. Ila kwa kazi hii ya kishenzi yeye ndo niliyemfikiria.
Inaonekana mlifanya naye mambo ya kishenzi huto Ex wako hadi unamtumia kikazi😆😆

Harafu watu washenzi baada ya kuwafanyia mambo ya Kishenzi huwa hawawaoi badala yake mnakuja na kutuganda sisi Innocent Boys.
 
Watu wengi wameshindwa kubaini shida ya mtoa mada.


ANAPATA wapi UJASIRI wa kuwasiliana na EX wake.??? HIYO ni Red flag kubwa sana.

Mke wangu awasiliane na EX wake mpk wapeane michongo kama hiyo?..

NB: Ex wake kamsifia ni kitombi, na mtu kama ni kitombiwise lazima atapasha kiporo hapo na usikute wanapasha mara kwa mara.
 
Ume panic unapita njia ndefu sana.

Chukua simu yako mpigie huyo mtoto wa 2000, ongea nacho sauti flani hivi tulivu ya kimamlaka, usikohoe wala sauti kukwaruza hata kidogo make sure umekunywa maji ya kutosha koo limekaa sawa kabisa.

Kaonye kaambie nakufahamu kwa sura mpaka unapokaa, nikijua bado una wasiliana na mali yangu nitachokufanya usinilaumu wewe bado mtoto mdogo sana.

Hakikisha usiitaje njia uliyotumia kujua mambo yao, kaache kajiulize na kujijibu kenyewe.

Call her, wacha kuchezea pesa kumpa uliyempa, katoto kanaweza kumuelewa kisha kamgeuze mumeo mchepuko mara ya pili.
Huyu mtoto mimi simtafuti! Labda kichaa nilompa kazi amwambie, which i doubt. Katika ushauri wote, huu wa confrontation nimeukataa.
 
HIZI NDIZO MADA ZENYE WASHAURI WENGI JAMIIFORUMS.

Hapa kila mtu atatiririka kwa mbwembwe na kujifanya mjuzi wa mahaba au kungwi wa kutOMBAH.

Hebu bwana, mtupishe huko.

Mashangazi tumekaa kimya tunawapiga jicho tu.
Shangazi vp mbona umenichunia wakat mm nataka kunyonya hicho kijambio mpaka kiwe chekundu.
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom