The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkishindwana huko inbox,naomba hiyo nafasi unipe mimi tafadhali.Hahahaaaha..... kiwe chekundu kama nyanya mbivu.
Njoo inbox mme wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishindwana huko inbox,naomba hiyo nafasi unipe mimi tafadhali.Hahahaaaha..... kiwe chekundu kama nyanya mbivu.
Njoo inbox mme wangu
Wape Mada sasa ya Katiba Mpya😆😆😆HIZI NDIZO MADA ZENYE WASHAURI WENGI JAMIIFORUMS.
Hapa kila mtu atatiririka kwa mbwembwe na kujifanya mjuzi wa mahaba au kungwi wa kutOMBAH.
Hebu bwana, mtupishe huko.
Mashangazi tumekaa kimya tunawapiga jicho tu.
Cc: Lamomy Dejane Depal cocastic Mbaga Jr Extrovert dronedrake The Icebreaker
Vumilia dada, hata ukiharibu uhusiano wake na hako katoto kabuku 2Kuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
Huyo ex wako atakula hizo hela kisha ata share hicho kitoto cha 2000 na mumeo,Huyu mtoto mimi simtafuti! Labda kichaa nilompa kazi amwambie, which i doubt. Katika ushauri wote, huu wa confrontation nimeukataa.
Pole sana😂😂Unarudiarudia unataka nijinyonge??
Ushenzi hakufanya na mie. Alifanya na wengine nikaujua.Inaonekana mlifanya naye mambo ya kishenzi huto Ex wako hadi unamtumia kikazi😆😆
Harafu watu washenzi baada ya kuwafanyia mambo ya Kishenzi huwa hawawaoi badala yake mnakuja na kutuganda sisi Innocent Boys.
Hamna confrontation hapo, hujanisoma ukanielewa.Huyu mtoto mimi simtafuti! Labda kichaa nilompa kazi amwambie, which i doubt. Katika ushauri wote, huu wa confrontation nimeukataa.
Ushauri nilishampa juu kulee, tenaa wa busara na maana kabisa.Namuomba tu asije akatuma wanajeshi kama yule kachero wa dodoma, atanyea debe.
Lets see how it goes.Huyo ex wako atakula hizo hela kisha ata share hicho kitoto cha 2000 na mumeo,
Naona umejaribu kuzima moto kwa kutumia mafuta ya taa.
Mwisho waambukizane Mpox wote.Huyo ex wako atakula hizo hela kisha ata share hicho kitoto cha 2000 na mumeo,
Naona umejaribu kuzima moto kwa kutumia mafuta ya taa.
mkuu unapenda kujiona mbabu 😅😅😅😅😍😍Ila hawa mabinti wa 2000 Wana balaa sana
Sijui michezo ya bed wamejifunzia, Wana mbinu hadi za kutumia Vipipi katikati ya mchezo?
Ukija kutahamaki shamba la urithi umemwandika Kwa jina lake 😜🙌
Bora tumezeeka sasa 🤗
Yakinifika shingoni nitaongea na niliye na makubaliano naye. Naanzaje kumpigia mtoto wa mtu kulialia nalilia mwanaume. AiiiHamna confrontation hapo, hujanisoma ukanielewa.
Unaonekana unamuogopa huyo mtoto, jiandae kumpoteza mwenzio.
Wenzio hutatua matatizo yanayowahusu personally, wewe unataka kusaidiwa?!
Hujiulizi itakuaje huyo mtoto akimkataa kuwadi uliyemtuma? utaliwa hela na kuwadi mpaka ukome huku mume akiendelea kujiachia na katoto.
Utazoea jipe muda.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Kwahiyo yeye ale mema ya nchi nikila mie aaaahhh…Watu wengi wameshindwa kubaini shida ya mtoa mada.
ANAPATA wapi UJASIRI wa kuwasiliana na EX wake.??? HIYO ni Red flag kubwa sana.
Mke wangu awasiliane na EX wake mpk wapeane michongo kama hiyo?..
NB: Ex wake kamsifia ni kitombi, na mtu kama ni kitombiwise lazima atapasha kiporo hapo na usikute wanapasha mara kwa mara.
Kwahiy unakulana na Ex wako..? Si ndio.Kwahiyo yeye ale mema ya nchi nikila mie aaaahhh…
Hebu kuwa reasonable basi.
Sasa muda wangu niutumie kufanya nini kama sio vitu vya kuboresha maisha yangu?Sasa hizo extra curricular activities ulizojikabidhi huoni kwamba ni kujiongezea mzigo na kutumia rasilimali muda wako (unless ni hobby yako kufanya hizo harakati)
Anyway to each their own....