Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Huu Ni ukweli,ndio maana watu wenye roho nzuri wengi wao wanaishia kuwa na uchumi wa Kati au wa chini.

Tujiwekee akiba na sisi na sio kuzimaliza zote kwa ukarima wa kusaidia ndugu maana mwisho wa siku watakutupa na kutokukujali

Mungu atupe mwisho mwema tuseme Ameen [emoji1431]
 
Wanasubiri ajira za serikali?lima,fuga,vua samaki,fanya umachinga ,endesha boda boda mpaka ukipata ajira,wewe lala tu uzee unakuja
 
Upo sawa , hata Mimi huwa nawaza kwa Nini wazee wapishwe , wakati wao umri umeenda na majukumu yamepungua, sisi vijana tunategemewa inabidi turelax .wazee waendelee kusimama ili wajenge afya na kuendeleza kuwa wakakamavu
 
Mimi huwa naangalia huyu nikimpa papuchi ataweza kucheza nayo? mind ikiniambia Yes simpishi ng'oo......... Kama ni mwanamke na anaonekana mzee huwa nampisha huku moyoni nikisema anaweza kuwa nyanya yangu au mama nanyanyuka charp
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao pia n Kama wazaz wetu pia n Kama kaka zetu na Dada zetu heshima n muhimu
 
Me wazee HUWA siwapishi kabisaaaa naaminigi kua maishani mwao wamepitia mengi na magumu kwahiyo HILI la kusimama kwenye gari ni chamtoto tu[emoji4][emoji4][emoji4]
Je mila na desturi zetu ndio umefundishwa hivyo? Hapounawaaibisha wazazi au watu waliokulea kwamba hawakukupa malezi bora !
 
Ni kweli.
Ila wema ni utu, utu ni jambo kubwa sana
Kwahiyo ukiamua kujitoa kwa ajili ya jambo jitoe haswa usiwaze kama atashuka atamwachia mtu au lah...
Ndio maana wahenga wanasema " Tenda wema uende zako usingoje shukrani"
 
Je mila na desturi zetu ndio umefundishwa hivyo? Hapounawaaibisha wazazi au watu waliokulea kwamba hawakukupa malezi bora !
Kivyovyote ILA ndio siwapishi mimi[emoji16][emoji16][emoji16] finally uzeeni tutajuana huko huko
 
Kupambana sio kupata watu wanapambana Sana lakini kupata sio majaliwa.
 
Huwa sielewagi,hakuna shida ya usafir halafu mtu anapanda kwenda kusimama n thn mtu anampisha kukaa wakat aliacha gar nyngne hata haijajaa.Kiukweli mm sikupish uwe mjamzito,sijui una mtoto mchanga,mzee au kikongwe.Itakua imekula kwako.
Kupimana imani tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…