Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu
Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala
Ila wazee hapana.
Mitaani kuna magari hadi milioni tatu,bodaboda used mpaka laki sita,hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda
Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa kupambana na maisha hata katika uzee wao
Kuwapisha siti ni kuwadekeza na kuwafanya wabweteke
Vijana pambaneni msitegemee hisani ya kupishwa siti uzeeni
Mimi hata ukija na miaka 89 sikupishi nakuangalia macho makavu sikupishi
We kula bata ujanani ila jua uzeeni tutakutana kwenye daladala
Yaani mi na uzee wangu nakugusa kijana uachie siti nikae unakaza nakushushia konzi zito najua ukinigusa utapigwa na gari zima
 
Hii tabia wanayo wamasai yaani wanaboa sana, Gari kibao ila anataka hiyo inayoondoka Monduli apande na apishwe. Na mashuka yao yaliyojaa maziwa😅

PS: Mtoa mada umefunga Mills ngapi Bank??
Wapishe bwana
 
Back
Top Bottom