Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Ni TABIA MBAYA tuu, tunatafuta sababu ila bado ni TABIA MBAYA.

Mbona nyie wapanda Public transport huwa tunawapa lift kwenye gari zetu.
 
Halafu vibabu vikikaa na pisi kalii, vinatoa simu vinampa demu, vinamwambia jihamishie hela kutoka benki kiasi utakacho, password ni mwaka wangu wa kuzaliwa 1947
Kuna mzee mmoja huwa ananiomba nimsaidie kutoa hell zake huwa aninipa password yake kbsa pia Ana watot 3 ila hawaamini Yuko radhi anisubiri mpk nije ndio nikamletee hella nmb au mpesa anazotumiwa za mazao shambn kwake ..

Watot wake wa kike alinifata nimpe namb za Siri za Bab ake ila nimegoma siku hz wananichukia San yey na mam yake mzeee ananimbia nikijaribu kutoa password nitakufa namm nimeingia ofu mbaya Ana account mbili za nmb na crdb hyo ya nmb ndio zilizoingiza hzo pesion
Mzee yule alishakuwa mpk mkurugenzi wa halmashuri kadha hapa nchin

Kwa kweli kila nilifanya muahama wowote napata 20000 jus Kati ndio akanikunjia Mia mbili baada ya kumuelezea tatizo Langu
 
Password Ni 0961 [emoji16]

Usimuache huyo mzee ,raha sana kuaminiwa na wazee hongera JF inasomwa na wengi hiyo password uliyoandika hapa ifute ,watoto watamuibia hela baba yao
 
Ngoja ufike miaka ya 60 kwanza afu nitarudi kukujibu 2045
 
Hapa mjini vijana wana zeeka haraka sana mtu ana miaka 40 lakini ukimtazama kama 60 au 70 wengine wana miaka 60 bado wana panga maisha ya mjini Dar hayana kanuni

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Yaani huwa inasikitisha sana miaka 40 ananyang'anywa demu na Mzee wa miaka 60? Jamani aibu aibu sana.
 
Kuna mmoja alikataa kumpisha mzee kwenye daladala akiwa anaenda interview wakashuka wote kwenye basi

Kuingia ofisi ya interview akakuta yule mzee ndie wa kumhoji oral interview

Kilichofuata alimwamkia tu mzee akamwambia nenda.Alitoka analia akajua kitakachofuata.Hakupata kazi
Duu hatari
 
Back
Top Bottom