nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nitumie nywele, mate na kucha nikufanye msukule...Hamna kitu
Kama kuna Mchawi aniroge nimlipe na pesa juu
Ewe Mchawi sema nikupe kitu gani ukitumie kuniroga, kucha? Nywele? Damu?
Sawa kwako wewe ila yakikushinda usiniiteHakuna uchawi hizo ni simulizi tu,sisizokua na mashiko.
Usihangaike fanya lile jini la advance kwa hili hili jina ita roho yake halafu uifunge puliza jina hili mara kadha atajileta kwako naa takuwa kimbola anayeonekanaNitumie nywele, mate na kucha nikufanye msukule...
Kuna shamba naliandaa afu sina msimamizi...
Nitumie kwa gari za kuja moshi...
Thanks in advance mkuu...
Mtu anayekupenda anaumia mkigombana na anajali mkisuluhishwaHakuna ndoa sahihi apa dunian acha kudanganya vijana,,,vijana saiz wakiona mafarakano kidogo wanaanza kuona sio ndoa sahihi kumbe ndoa ndo ilivyo
Dunia imepitia kwenye kipindi cha watu kulishana matango pori mengi , ila sisi bado tunang'ang'ana nayo tuSawa kwako wewe ila yakikushinda usiniite
Yah right ila mie napendaga kutukana watu kama ni waki waki .😂😂😂 ila wewe muongo sana watu kama nyie huwa mnaongea vitu vinavyoweza kumpata binadamu na havikwepeki,,,,kwa mfano mimi nianze kukwambia wewe apo kuna mtu anampenda kutoka moyoni ila yeye hakupendi kama wewe unavyompenda,,,ila yupo anayekupenda wewe humpendi alafu wewe apo una hamu ya kujua sana nguvu za giza,,,wewe apo ni mtu anawaza sana nguvu za giza na huwa unaota usiku kuhusiana na haya mambo, ,, af wewe apo huku mzimu wangu unanambia unamatarajio makubwa sana ya kimaisha,,,af pia mzimu unanambia hupend watu wako wa karibu wajue kama unapendelea kufuatilia haya mambo ya giza,,,mzimu wangu unanionyesha mengi sana mengine siwezi kuyaweka wazi
Mganga ni yule anakilinge ila mie naona shida ya mtu na mtu atakayemsaidia sijui unanielewa sina kilinge sijaolewa so siwezi pewa kilinge .Kwa hiyo ww ni mganga?
Kama kweli tuongee kitu
Maisha ya mwdnadamu Mungu anajuaDunia imepitia kwenye kipindi cha watu kulishana matango pori mengi , ila sisi bado tunang'ang'ana nayo tu
Sawa.Maisha ya mwdnadamu Mungu anajua
Karibu bwana niague mimi mganga?Yah right ila mie napendaga kutukana watu kama ni waki waki .
Sikia mie sina haja ya kuongea kitu utakavyoamini ndio utaachwa ukiamini
Umenielewa nimesaidia a lot of people waluoshindikana nawengi so jichanganye
Mwamini Mungu huku niutateseka tuSawa.
Unaona matatizo yake kwa nguvu ipi?Mganga ni yule anakilinge ila mie naona shida ya mtu na mtu atakayemsaidia sijui unanielewa sina kilinge sijaolewa so siwezi pewa kilinge .
Ila naweza sema nakuona matatizo yako
TOfautisha muona maono na muombeaji ,mtabiri na mganga. Mie ninaweza kuwa mganga ila sijapitia hiyo steji maana sijaolewaKaribu bwana niague mimi mganga?
Kama unashida sema kama huna siku njema .Unaona matatizo yake kwa nguvu ipi?
Nataka kuku amini wewe tu inatosha😁Mwamini Mungu huku niutateseka tu
Mie sio Mungu mie ni mwanadamu ninaye wasaidia kutatua shida za watuNataka kuku amini wewe tu inatosha😁
Sawa😁Mie sio Mungu mie ni mwanadamu ninaye wasaidia kutatua shida za watu
Wewe umesahau kwamba iyo simu yako ulivyokuwa unaipenda siku unanunua na leo ni tofauti,,,binadam ana sifa ya kukinai kituMtu anayekupenda anaumia mkigombana na anajali mkisuluhishwa
Mie sina wivu nimesema ukweli halafu arsi ni mtu anayeweza kutibu ila kuna kasoro fulani ipo akitoa hapo . Ni mtu anayeweza sanaNaona umekuja kumsengenya ARSI huku, mwenzio sio mganga na ana viumbe vyenye uwezo mkubwa sana
acha wivu.