nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nitumie nywele, mate na kucha nikufanye msukule...Hamna kitu
Kama kuna Mchawi aniroge nimlipe na pesa juu
Ewe Mchawi sema nikupe kitu gani ukitumie kuniroga, kucha? Nywele? Damu?
Kuna shamba naliandaa afu sina msimamizi...
Nitumie kwa gari za kuja moshi...
Thanks in advance mkuu...