Nasema ukweli kuhusu uganga

Kaka zako wote wawili ni waganga?
 
I don't understand...uganga ni ulozi kwa jinsi imani yangu inavyoelekeza. Na sababu kubwa ni namna unavyoendeshwa. Kwahiyo binafsi sishiriki kabisa uganga wa aina yoyote. After all, kuna sala za malaika wema zinawakimbiza hao mashetani yenye nia ovu
 
Hapo nimekuelewa.
 
daah umenikumbusha mwaka 2018 kuna dada alisema anaumwa sasa kazunguk makanisani kote lakn anapoa kidgo then mapepo yanarudi tena
sasa akasema alivyoend kwa waganga kadha walimuambia hayo sio mapepo ni mizim yao inamtaka awe mganga
sas yule dada alikua hatak kukubali hiyo hali anavyo nisimulia nilivheka sana akahitimishankwa kusema kwa sas hana namn inabid akubali tu maana anatesek sana
 
Uganga umekatazwa kwenye vitabu vitakatifu vya Mungu. Waelimishe watu kuwa, Waganga na wale waendano wa waganga sehemu yao ni ktk lile ziwa liwakalo moto siku ya hukumu.
''Mganga wetu yu karibu, Hashindwi na Uchawi... ''

Huo wimbo unauzungumziaje?
 
haya mambo ya uganga yanahusisha imani, kwahyo wale wanaoenda kwa waganga kupata msaada wakiwa na imani wanapata

tunachotofautiana hapa ni matokeo ya kile tunachopata

ukienda kwa waganga (wachawi) wa dunia hii utapata ufumubuzi wa tatizo lako kwa muda tu ila shida haitakwisha

ila ukienda kwa mganga mkuu "Yesu Kristo" utapata majibu ya matatizo yako na shida zote zitakwisha
 
Seriously! Karne hii ya 21. Achana na uganga hauna tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…