Nasema ukweli kuhusu uganga

kunae mtu wangu wa karibu hatukuwai kujua kama bibi yake mzaa mama alipungwa uganga wa mkoba na alikua anaoteshwa dawausingizini, sasa huyu bibi wakat anauma huyu best yeye alikua mzito sana kwenda kumuangalia mpaka nikawa namshinikiza nenda anaumwa sana kmuangalie sio vizur kweli siku tukaenda kufika bibi akampa mkono akaushikilia sana akitabasam wakaagana tukasepa siku illfatia yule bibi alifariki, baada ya kumaliza kuzika tuko matangani yule best yangu skuwah kumuona akipandisha madude hayo nina miaka naye zaidi ya kumi sijawa kumuona hata akisema ana mashetani bas jini la kimasai na yey sio mmasai nilikua nimekaa naye tunapiga story nikajua ananitania mm nikawa namwambia wewe na kimasai wapi na wapi usiniletee usanii alinikaripia akapanda juu anaruka ruka ikabidi na mm nikae pembeni ndio namuita huku namuuliza una shida gan anajibu kimasai watu wakasogea nikaelezea hali halisi kataftiwa mtu wa kusemezana naye wakaanza kuongea kimasai mwisho yule mkaliman akasema huyu jini anasema kwa nn mikoba mmeiweka chini na mhusika hajapata mrithi? mnatakiwa kumtafuta mrithi wa huo mkoba haraka halaf nikageukiwa naambiwa una bahati uko na kiti sehem salama mie hapo namuogopa lakini sasa yeye hataki hizo habari za uganga kabisa hata siku kwao wanatafta mrithi wamkoba yeye hakwenda na mkoba haukuchagua lakini amekua akioteshwa mambo kadhaa hunishirikisha mara aote anavikwa kama kofia na watu hawajui amevalishwa rubega hua namtania mwenyewe huo mkoba n wako unasmbua tu ndugu zako sasa wewe leo kama umenitonya jambo
 
Kwahiyo una rafiki mganga ?
 
Kwahiyo una rafiki mganga ?
hajakabidhiwa huo uganga ila mambo yake s ya kitoto kuna siku alinmbia aliamka saa saba za usiku anaons mtu kabeba moto anakimbia nikamwambia na wewe ukawa bado tu unamuagalia utakua kichwani kwako una mwenzio
 
Binafsi nina uzoefu wa kipekee wa mambo hayo. Nitaichukua hii post na kuijibu kule kwa kina.
Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…