Nasema ukweli kuhusu uganga

Uganga hauna formula kila mmoja ana namna kakabidhiwa kaka yangu mganga hajapitia hata kimoja ulicho ongelea labda uganga wa tunguri.
Alipata tabu shule kila analofanya linaharibika akaambiwa unatakiwa utibu akaend kwa mama mmoja akapewa maji anywe basi akafunguka watu wake wakawa wanamuelekeza tiba ndotoni au live au kichwani tu anasikia sauti.
 
Uganda hauna formula kaka yangu mganga hajapitia hata kimoja ulicho ongelea labda uganga wa tunguri.
Mie sio kaka mie ni mwanamke na hajapitia uongo mwaya nauhakika na ushaidi upo usilolijua ni usiku wa giza . Kuna mtu tena aliniita hivyoo .

Halafu hatufanani kila mtu ananjia yake yakuvaa hivi vitu kama wako alifanya vingine namie nimevaa kivingine . Nimepitishwa sehemu nyingi kisa hili kwa waganga wakubwa zaidi yangu so huniambii lolote
 
Sijakuita kaka ila nimesema kaka yangu mganga anatibu tena wako wa 2 ila hawajapitia hayo ndo maana nikasema uganga hauna formula Kuna vitu umeelezea sio wote wanavipitia au vinawatokea kila jinn ruhan ana namna yake, Kuna uganga wa kitabu kuna uganga wa miti shamba mwingine anakuwaw nao wote.
 
Eh ila mie sijakuwa mganga nimepewa masharti hadi niolewe ndio niwe kamili mie naonaga tu matatizo ya watu nakuwaelekeza sehemu husika ya kutibiwa
 
Eh ila mie sijakuwa mganga nimepewa masharti hadi niolewe ndio niwe kamili mie naonaga tu matatizo ya watu nakuwaelekeza sehemu husika ya kutibiwa
Sa SI tayari we Ni sehemu ya mfumo Hadi hapo.
Maana kuona kwako ni Kama kusoma anga/ardhi ( Umbo lingine la uganga/ Uchawi ).
 

Kwa hîyo sanaa Siku hizi NI uchawi mwisho usemè Sayansi nayo ni uchawi.

Ndio wale mkimwona Gaucho akichezea Mpira mnasema uchawi.

Au waruka sarakasi mnaita uchawi.

Huyo Dada Mganga mwenyewe amepimwa Kwa Vitu vidogo àmbavyo hata AI ikiulizwa inaweza kuvijua lakini yeye kashindwa anabakia kusema bado hajafika level ya uganga,

Uchawi na uganga ni utapeli
 
Okay! Kwa hiyo thread hii imetolea ufafanuzi ile thread nyingine ya jamaa aliyepewa uganga mapangani kule Tanga kwenye kamba wengi wa msimu?

Ova
 
Eh ila mie sijakuwa mganga nimepewa masharti hadi niolewe ndio niwe kamili mie naonaga tu matatizo ya watu nakuwaelekeza sehemu husika ya kutibiwa
Yeah uganga na uzinifu hauendi kinga inakuwa ndogo ya kupambana.
 
Utajiskia vp kwamba mtoto wako,familia yako Au wew utumiwe kukamilisha mambo ya kichawi Au uganga.mfano kutumia mafuta ya watoto.maiti za wapendwa wetu .nk.
Ubaya wake unakuja pale Kwenye vitu wanavyotumia
 
Hiyo hapo orodha ya matajiri wasio amini habari za Mungu wala uchawi.

1. Bill Gates

2. Elon Musk

3.Larry Page

4. Sergey Brin( huyu ni myahudi kiasili)
Hawa ni mafree manson sadaka zao huziwezi jinsi wanavyoishi huwawezi hata ukitaka hakuna kitu free .
Sasa sio watu wanatoa wale wametoa roho zao,na pia familua zao wanajua wanaabudu mashetani gani kwa kila wiki wanajua watavaa nini na kula nini,nawataishije.

Hakuna watu wanaogopeka kama wazungu
 
Hivi gharama za uganga anaezipanga huwa ni KITI au ni ndugu Mganga ?
mganga mwenyewe ni anawakilisha mizimu na majini ila ukiacha mganga kuna huyo kiongozi wa uganga sasa ambaye huitwa kiti huyu ndio hutoa maamuzi ya kila kitu uaguzi,na matibabu.
NDio maana mganga anadai ngoja nikaongee nawazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…