Nasema ukweli kuhusu uganga

Utajiskia vp kwamba mtoto wako,familia yako Au wew utumiwe kukamilisha mambo ya kichawi Au uganga.mfano kutumia mafuta ya watoto.maiti za wapendwa wetu .nk.
Ubaya wake unakuja pale Kwenye vitu wanavyotumia
Ndiyo maboresho yenyewe ninayoyazungumzia. Nikama tu sayansi inavyoendelea kuboresha mambo na kupelekea kutotumia vifaa au nishati zenye madhara kwa mazingira na binadamu.
 
Hii comment iwekewe lamination then case closed (Uzi ufungwe) umemmaliza kabisa
 
mganga mwenyewe ni anawakilisha mizimu na majini ila ukiacha mganga kuna huyo kiongozi wa uganga sasa ambaye huitwa kiti huyu ndio hutoa maamuzi ya kila kitu uaguzi,na matibabu.
NDio maana mganga anadai ngoja nikaongee nawazee
nimesoma uzi wako vizuri sasa niambie jambo kunihusu mimi
 
Hamna kitu

Kama kuna Mchawi aniroge nimlipe na pesa juu

Ewe Mchawi sema nikupe kitu gani ukitumie kuniroga, kucha? Nywele? Damu?
 
Kumbe shetan anao uwezo wa kufanya mtu awe tajiri dunia nzima kuliko Mungu muweza wa yote?
 
Mizimu + Waganga wa kienyeji + Wachawi + Walozi + Washirikina + Wanga + Majini + Mapepo = Nguvu za giza (Shetani).
Airtel money + M Pesa + Halo Pesa + Tigo Pesa = Mihamala ya simu(Baba mmoja).

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Siku zote wapingaji wakuu uwepo wa uchawi ndiyo Wachawi wenyewe haswa.

Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.
 
Yeah uganga na uzinifu hauendi kinga inakuwa ndogo ya kupambana.
Kuna jamaa alikuwa msanii wa huu mziki wa kizazi kipya,ikatokea uganga ukamtaka alikuwa sharo hatari muda wote msafi ananukia ana dred kichwan

Mwanzo alikataa ila mauza uza yalipozid ikabid asalimu amri,akatafuta pori karibu na mji akaanza tiba,mwanzo alipata watu wengi sana wakawa wanakwenda kutibiwa kwake lakin yeye lifestyle yake hakuiacha,kamari kwa sana na kula mademu mpaka wake za watu,baadae alififia,kwake kukawa hakuna watu tena akaanza kuuza na vitu vyake mwsho wa siku alihama
 
Huwezi kuwa Mganga bila kuwa Mchawi, hawa ni mapacha waliotoka kwenye kiuno cha baba mmoja na mama mmoja ila tu jinsia tofauti lakini damu ni moja.
 
mganga mwenyewe ni anawakilisha mizimu na majini ila ukiacha mganga kuna huyo kiongozi wa uganga sasa ambaye huitwa kiti huyu ndio hutoa maamuzi ya kila kitu uaguzi,na matibabu.
NDio maana mganga anadai ngoja nikaongee nawazee
Uganga umekatazwa kwenye vitabu vitakatifu vya Mungu. Waelimishe watu kuwa, Waganga na wale waendano wa waganga sehemu yao ni ktk lile ziwa liwakalo moto siku ya hukumu.
 
Uganga na uchawi una tofauti ya jinsia tu . Mganga ni mshrikina wa kiume na mchawi ni mshirikina wa kike .
 
Huwezi kuwa Mganga bila kuwa Mchawi, hawa ni mapacha waliotoka kwenye kiuno cha baba mmoja na mama mmoja ila tu jinsia tofauti lakini damu ni moja.
Ndio maana nikasema awali kuna aina za waganga sio wote ni wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…