Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

Kumbe shetan anao uwezo wa kufanya mtu awe tajiri dunia nzima kuliko Mungu muweza wa yote?
Katika maisha usiende kumwita Mungu na ukiwa kwenye midahalo usikimbilie kuhurumiwa kuna wachawi wewe kijana hawamjui Mungu, wanakufungia maisha yako wanakuaibisha wanakufanya uonekane taka taka kuna kisa kimoja siwezi sema chote . Ila wachawi waganga wanawasaidia kuwadhibiti sana aisee
 
Vyovyote ila yote hayo ni machukizo mbele za Mungu muumba mbingu na nchi, better kama mtu ukaamua kurudi kwa Mungu kwa kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
Mbona mkilogwa mnasahau kuwa mnapaswa mumuamini Mungu na mnakuja mnaaguliwa mnaenda kanisani tena as usuall. Hadi mapadri, wachungaji, kila mtu hadi mzee wausharika wanakuja kutolewa vitu vyakichawi kwa waganga
 
Anayejiita padri, mchungaji n.k kuja kwenu kwa waganga hakufanyi kwamba Kristo hayupo au hana nguvu. Biblia ilishasema na kutambua kuwepo kwa wakristo feki na ndio hao ambao wanakuja kwenu kutafuta nguvu za giza lakini kumuishi Kristo inawezekana kabisa, Yesu alikufa kwa ajili yenu waganga na wachawi, wazinzi, waongo n.k unaweza ukaacha uchawi na uganga na ukawa mtumishi mzuri ndani ya Yesu.

Karibu sana.
 
Namini hujanielewa hata kidogo kwenye uaguzi lazima waganga waanze na Mungu katika kila kitu sasa jichanganye ukapata mtu akakusimamia
 
Mwaya sijafikia huko labda kuona tu utaolewa nanani na mengineyo. Kiuserious humu na nje ya hapa kuna vijana wanakupenda ni wewe kuwa makini maana kuna mtu unampenda ila yeye hajaweka msimamo kwako pekee na mtu mwingine anakupenda wewe upo tu kisa anakuhudumia vyema
😂😂😂 ila wewe muongo sana watu kama nyie huwa mnaongea vitu vinavyoweza kumpata binadamu na havikwepeki,,,,kwa mfano mimi nianze kukwambia wewe apo kuna mtu anampenda kutoka moyoni ila yeye hakupendi kama wewe unavyompenda,,,ila yupo anayekupenda wewe humpendi alafu wewe apo una hamu ya kujua sana nguvu za giza,,,wewe apo ni mtu anawaza sana nguvu za giza na huwa unaota usiku kuhusiana na haya mambo, ,, af wewe apo huku mzimu wangu unanambia unamatarajio makubwa sana ya kimaisha,,,af pia mzimu unanambia hupend watu wako wa karibu wajue kama unapendelea kufuatilia haya mambo ya giza,,,mzimu wangu unanionyesha mengi sana mengine siwezi kuyaweka wazi
 
Anayejiita padri, mchungaji n.k kuja kwenu kwa waganga hakufanyi kwamba Kristo hayupo au hana nguvu. Biblia ilishasema na kutambua kuwepo kwa wakristo feki na ndio hao ambao wanakuja kwenu kutafuta nguvu za giza lakini kumuishi Kristo inawezekana kabisa, Yesu alikufa kwa ajili yenu waganga na wachawi, wazinzi, waongo n.k unaweza ukaacha uchawi na uganga na ukawa mtumishi mzuri ndani ya Yesu.

Karibu sana.
Acha uongo bwana unauhakika na ukisemacho au umesoma tu maandiko
 
Namini hujanielewa hata kidogo kwenye uaguzi lazima waganga waanze na Mungu katika kila kitu sasa jichanganye ukapata mtu akakusimamia
Hata Shetani naye ni mungu wa hii dunia, usijitoe ufahamu kuwa hakuna miungu la hasha! miungu ilikuwepo tangu na tangu ndiyomaana Amri no 1 Mungu anakukataza "usiwe na miungu mingine ila yeye pekee Muumba mbingu na nchi, viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekana "Yehova/Yahweh".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.

Baada ya kupewa mizimu yake na majini yake lazima upewe jini ambalo ni uganga wako. Ndiye anaitwa kiti na pia humuona ndotoni sio live.

Halafu ukianza kusimikwa uganga unatakiwa uwe unafamilia tayari. Watoto wako ndio ukoo wako kuna mmoja au mjukuu wako utamridhisha.

HAlafu unakuwa unaona hadi mtu akienda kwa waganga au mtu fulani wakaribu wanataka kumuua au chochote kizuri au kibaya .
BAsi ukioa unaletewa wengine wakukuelekeza na wazee waukoo uganga ulipo basi unaanza kutibu.

Ila uganga kwanza nikama unabii tu ila mtu kuishi mapangoni kufanya nini kama ni pete zauganga kama umeshaoa mke au kuolewa na mme wamtakao basi. Ukiwamke namume unaanza kuoteshwa nani wakukupa kila kitu sasa sijui wengine wanaenda kuishi mapangoni kufanya nini na huku majini yanakufuata at the right time . Na mtu huanza kuona nakuelezea wale wenye shida nakuwaelekeza mganga wakuwasaidia kwa mana bado hajawa kamili.

Na uganga halisi huwezi kulala na familia yako. Hiyo hapana hata ukiuliza watu wengi . Ambao wamekuwaga waganga .

Sijui kwa wale ambao wengi waliupataje huo uganga .
Hakuna kitu kama hichooo UGANGA NI UTAPELI.... hizi zingine pia ni hallucinations na ndoto
JAMAANI UKIONA MAISHA YAMEKUSHINDA MJINI JIFANYE MGANGA
 
Ukiwa umetambua anayekupenda kwa dhati ndoa kwako ipo tena sehemu nzuri tu maisha itayapata na yapo ila unatakiwa ujue mtu sahihi sasa uache kuwa single nipo serious
Hakuna ndoa sahihi apa dunian acha kudanganya vijana,,,vijana saiz wakiona mafarakano kidogo wanaanza kuona sio ndoa sahihi kumbe ndoa ndo ilivyo
 
Hakuna kitu kama hichooo UGANGA NI UTAPELI.... hizi zingine pia ni hallucinations na ndoto
JAMAANI UKIONA MAISHA YAMEKUSHINDA MJINI JIFANYE MGANGA
Mie maisha hayajanishinda naninakazi zakufany nyingi tu. Halafu siwezi kuona jambo lamtu litakalomuathiri nikae kimya nitamtatulia
 
Back
Top Bottom