Nasema uongo ndugu zangu?

Nasema uongo ndugu zangu?

WAIKORU

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,586
Reaction score
2,454
Wakuu, nmekuwa nikisoma hapa JF, mara nyingi tu huu msemo kuwa "" nasema uongo ndugu zangu?"....

Naomba kufaham msemo huu ulitokea wapi na ni nani mwasisi wake, huwa unatumika katika mzingira gani?

Japo kwa kweli unavutia sana kuutumia...
 
Muasisi ni huyu

Nileteeni Kwajima
Nileteeni Kwajiiiiimaa
Nileteeni Kwajiiiimaaaaaaaaaaa
20201228_235208.jpg
 
"Hicho ni kitu ambacho hakiwezekani" NIDA

"Hili swala la... nakataa" UHAMIAJI

"Wale viboko nawapongeza, wana akili sana" VIBOKO (HIPPOS)

"Wamejifurika wenyewe" MBWEMKURU

"Nikawaongoze kidogo kidogo huko mbinguni"

NASEMA UONGO?, NI UONGO NDUGU ZANGU!!?
 
Hivi siku mtu akijibu "Hapo umesema uongo mzee" patakuwaje hapo pahali?
 
Itabaki stori tu kua kuna alikuwepo duniani ambaye alipnga kauli ya Jiwe
Lowassa alivyokuwa Waziri Mkuu alijifanya ana style ya kubana watu kwenye mikutano live, alikutana na mjeshi mmoja Mwanza alimpa kubwa live mpaka ikawa aibu kwake mwenyewe Lowassa.

Yule Mjeshi sijui walimfanya nini baada ya pale.
 
Wahenga waje waelezee mana wakat Lowassa ni PM mimi nilikua msingi ila national ya la4 nilishafanya kipindi kile tyr..

Ila itakua walimficha ili heshima irudi.
 
Wahenga waje waelezee mana wakat Lowassa ni PM mimi nilikua msingi ila national ya la4 nilishafanya kipindi kile tyr..

Ila itakua walimficha ili heshima irudi.
Hapa tunajibizana na wanetu kumbe.

Sasa nikieleza enzi za Sokoine si ndiyo itakuwa hujazaliwa kabisa?
 
Back
Top Bottom