Nasema uongo ndugu zangu?

Nasema uongo ndugu zangu?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema uongo ndugu zangu? Msemo gani mwingine una trend wakuu?
 
Mitano tenaaaaaaaaa.
EqrMsFsXIAI0SJP.jpg
 
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema uongo ndugu zangu? Msemo gani mwingine una trend wakuu?

Kwani nani mmiliki wa huo msemo mkuu,ili tusije buruzwa kortini kama alivyotufanyia mmiliki wa “Ni Yeyeee”
 
Back
Top Bottom