Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema uongo ndugu zangu? Msemo gani mwingine una trend wakuu?