Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

Nini hiki??

Nimesoma pages zoote!!

I can't relate!
 
IMG_20220705_230143.jpg
 
Nash Mc..... moja ya wachanaji wazuri sana. Sema ukimzingua anakuzingua mara 100.

Alishawai kupishana kauli na Fid q pamoja na profesa Jay.
 
Nash MC bado yuko level moja na Papaa Mafido wa Arusha. Nash ni msanii underground ila kwa jitihada anazoonyesha atafika mbali.
 
Nash Mc na P Mawenge ndio watu pekee ambao naweza kuwasikiliza kwa sasa ingia youtube tafuta wimbo wake unaitwa mitihani master utakuta kaongelea maisha halisi kabisa ya watu waliotuzunguka ana jamaa yake anaitwa Para anatoa beat sio za nchi hii salute Nash Mc[emoji1548]
 
Back
Top Bottom