Nilivyosoma tu jina lako, nikajua priorities zako. Mna haki zenu, so I won't go hard on you!
Ana u-zaramo ndani yake pia. Jamaa anaongea sana ukikaa nae lazima ucheke. ..ni comedy mnoo. .alafu ni muhaya.ukimuuliza kabila lake anakubadilikia haraka sana.tunao mjua
Nilimuelewa kwenye nyimbo ya tabia na mitihani baada ta hapo sikuweza kumsikia tena mana kwenye media ni kama kakosa promo
ZImaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Jamaaa anajua sana,conscious MC.Hatari sana hii ngoma
Mshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizoHuyu jamaa naweza sema ni mwanahip hop bora Tanzania ambaye hajawahi kubadilika,wako malegends kama Sugu au Jay ila huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake utagundua ni msomi,na pia anatumia kiswahili sanifu.
Album yake mpya kuna nyimbo kama maneno,barua toka Bangui,viwango vyake vya mashairi inaonekana mtu tafiti.
Nadiriki kusema ni msanii wa hip hop asiyebadilika na mwenye mashairi yanayofundisha
Mshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizo
Upo sahihi Mkuu jamaa ni mgumu sana kupokea ushauri hata unapomkosoa kwa nia nzuri tu jamaa anachukulia tofauti sana!Mshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizo
jamaa hana respect kwa mashabiki na bora sijanunua hiyo albam mana nilikuw kwenye mipango yakufanya hivyo nahisi angekuwa ameniuzi zaidi ninunue albam bado jamaa aniblock ni kama kanikosea hakukuwa na sababu ta kuniblock sababu sijamtukana nimempa ushauri tu ambao sio lazim kuufanyia kazi nilikuwa naona ni mtu makini lakini nimegudua jamaa anastress au chuki kwa wasanii wanaopiga hatua kimafanikio"Maneno" by Nash Emcee.
Ulitoa ushauri wa kiduwanzi. Unastahili block!!
Eti jitihada za kuongeza fan base ya mademu kwa 'kufanya video kubwa'.... hahahaaa.
Kibongo bongo, hip hop na mashabiki wa kike wapi na wapi?!!! mkuu wewe endelea tu kuwatch video za kina Diamond and the like. Hip Hop waachie wenyewe.
-Kaveli-
Hpo anatoa speech kwenye chuo fulani ujerumani.....Nash ana kwenda mpaka UJerumani kufanya show. ....
Nash ni Mc --Ambaye Yuko against na clouds kwa sababu clouds walimtaka a -switch flow aka kataa. ..... so that's why hasikiki. ..... ila ngoma zake ni kali sana tu ....ana album yake 1 hivi inaitwa mzimu wa shaban Robert. .itafute uisikilize
Shw hzo unazotaka ww zinajaa mashogaa tuMshkaji nilikuwa namkubali tungo zake ila nimegundua ni kama ana stress afu hajielewi baada ya kuona hii thread ikabidi nitembelee na kurasa yake nikamfollo nikaona anapromoti albamu yake lakini nikaona show zake kama wanaume ni wengi ikabidi nimshauri aweke jitihada ya kuongeza mashabiki wa kike kwa kuinvest kufanya video kubwa lakin nimegundua jamaa hataki ushauri nikaishia kula block mwisho wa siku nimemshusha vyeo nyimbo zake nimezifuta nilikuwa nazo baadhi jamaa hajielewi wala sina hakika kama anajua anapotaka kwenda kiufupi tu mshakaji kakosa respect ata nyimbo yake ya zima nimegundua sasa yeye ndio mwenye matatizo
We endelea kuwa support wanahamasisha ushog tujamaa hana respect kwa mashabiki na bora sijanunua hiyo albam mana nilikuw kwenye mipango yakufanya hivyo nahisi angekuwa ameniuzi zaidi ninunue albam bado jamaa aniblock ni kama kanikosea hakukuwa na sababu ta kuniblock sababu sijamtukana nimempa ushauri tu ambao sio lazim kuufanyia kazi nilikuwa naona ni mtu makini lakini nimegudua jamaa anastress au chuki kwa wasanii wanaopiga hatua kimafanikio
endeleeni kumpa kichwa wakati mwenzenu anaangamia ni nini anachohamasisha jamii ikiwa yeye mwenyew hataki kutoka kwenye wimbi la umasikini alikuwa nao kakosa plan b ndio mana amebakia kuwa mtu wa wakulalamika tu na kutukana media mbona wenzie wakina niki mbishi wametulia na wana respect msimpe kichwa kiivyo mshaurini abadilike anajifanya ni mjuaji mno kitu ambacho anaharibuWe endelea kuwa support wanahamasisha ushog tu
Ova
Vina Vikali Usipime....Ni MC pekee mwenye VVU