Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Nyimbo za siku hizi huwezi kusikiliza wala kutazama mbele ya mama au wakwe. Nyimbo zimejaa matusi na maudhui ya kingono tu. Na ndizo zinapewa airtime ya kutosha!
-Kaveli-
Inama nipachike rungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo za siku hizi huwezi kusikiliza wala kutazama mbele ya mama au wakwe. Nyimbo zimejaa matusi na maudhui ya kingono tu. Na ndizo zinapewa airtime ya kutosha!
-Kaveli-
Nash MC ni moja ya maMC Palla Midundo amejivunia.
Alimwambia Kikwete "Oya kaka Suma acha upumbavu wako.." [emoji23][emoji23][emoji23] TCRA wakaruka na Free Africa chapu kwa uchochezi.
Kimsingi ukimsikiliza pia katika nyimbo kama mwanaharakati, Kinasa na Salamu za amani unagundua jamaa yupo deep.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Huijui hip hop weweUshaona wabana pua wanaangaika kuwaimba wasanii wa hiphop? Unajua kwa nini?
Hiphop ni muziki wa losers.
Kuna kitu kinaitwa misingi ya hip hop humo luna elements nyingi sana zinazomtambulisha mtu kua huyu ni mwana hip hopWasanii wa hip-hop waache kuchukia wasanii wenye mafanikio mana mashairi yao mengi wanadis tu wasanii wa kuimba hamna kazi rahisi kila mtu anaumia wajifunze kuheshimu wenzao wanachofanya
Ni wimbo aliutunga mwaka 2013 kuakisi utawala wa miaka saba ya jakayaKaka Suma ni nani?
Au singeli za akina nandiAtoke na akasikilize mchiriku.
-Kaveli-
inategemeana na kipindi nacho run siku hiyo kinahusu niniWewe ungekuwa na Tv yako ungeruhusu kurushwa video iliyoshutiwa kwa techno?
Ni wimbo aliutunga mwaka 2013 kuakisi utawala wa miaka saba ya jakaya
Ni lugha ya picha suma inaendana na neno jkt sasa nahis utajiongeza hapo. Hiphop ni muziki wa fasihi lugha ya picha lazimaKwahiyo huyo Suma ambaye aache upumbavu ni Suma JK. T?[emoji3][emoji847]
inategemeana watazamaji wanaupeo ganiNi moja ya sababu, imagine unacheza playlist umepiga wimbo wa Kendrick Lamar, ukaja ukacheza wa Casper then Darasa alafu unapandishia wa Maalim Nash...wewe uoni utakimbiza watazamaji?
inategemeana watazamaji wanaupeo gani
unaweza ukaweka mategemeo kua kichwa cha jogoo kitabeba matofali?
kama ni hawa watoto wanaoimbiwa "yesa yesa yesa yeeh" wawe ndio ma judge basi nash hatosikilizwa
ni kwasababu great thinkers bongo wako out numberedHivi bongo mziki wa hiphop inafeli wapi
Mbn hawa wakata mauno wanatawala
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
ni kwasababu great thinkers bongo wako out numbered
watu hawapendi kushirikisha ubongo na ndio maana utawasikia wanasema " hizo ngumu zenu hazinogi jaribuni kulegeza"
hivi nani mwenye akili zake timamu ukamkuta anasikiliza nyimbo inaimbwa "anachukua anaweka waah"