Upo sahihi Mkuu
Mgeni wa Jiji . Possibly. Hip Hop shabaha yake kuu ni kuleta mageuzi na haki katika jamii.
System inafanya kila liwezekanalo mziki huu usipenetrate mindset za wananchi.
Mfano, ushaisikia track ya Maalim Nash iitwayo 'Beti' ? Kama bado hujaisikia, hii hapa isikilize kwa makini:
Wimbo kama huu kamwe hutousikia radioni wala kwenye TV station, bali utausikiliza kwenye social media na mtaani tu like kwenye masaloon, magetoni, n.k.
2pac Shakur aliwahi kusema: "I am not saying I am gonna change the world, but I guarantee that I
will spark the brain that
will change the world."
Systems (karibia zote duniani) haziko tayari kuruhusu mziki wa hip hop uzalishe 'brains' za kuikosoa serikali katika kuhoji maovu na kusemea haki na usawa kwenye jamii.
Cc: Mkuu
mrangi .
-Kaveli-