Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?

inategemeana watazamaji wanaupeo gani

unaweza ukaweka mategemeo kua kichwa cha jogoo kitabeba matofali?

kama ni hawa watoto wanaoimbiwa "yesa yesa yesa yeeh" wawe ndio ma judge basi nash hatosikilizwa
Knahitaji moyo kuwaelimisha makuadi na mawakala wa kufubaza akili
 
Naijua hiphop kuliko hao watoto washamba kina nash sijui niki mbishi.

Najua one and two.

Najua sixteen bars.

Najua freestyle.

Wakati nafanya hayo hao watoto walikuwa wananyonya nafikiri.
Unaweza ukaijua imani fulani sabna tu lakini usiwe mfuasi wake. Halaf kumbuka pia umri sio kigezo cha kukifahamu kitu kiundani. Itoshe kusema kwamba wewe sio mfuasi wala muumini au mkereketwa wa hiphop
 
"Kaka Suma umesomeshwa kwa kodi za wanyonge, tunadai haki yetu unataka tuiombe, hio haiwezekani hata kwa makonde,"

Nyimbo nzima alimsema JK. Free Africa wakaipiga hewani wakapewa onyo kali kwa uchochezi na TCRA, Nash akajiita A.K.A MCHOCHEZI
Ilikua ndo radio pekee anbayo ilipiga mZiki bila ya upendeleo.
 
Naash tangu aanze muziki alikua anatoa kanda mseto tu nahis mwaka juzi Au jana 0ndo ametoa albamu. Inangoma 20. Naipenda barua toka bangui

'Barua Toka Bangui' ... bonge la pini.

-Kaveli-
 
Nimemsikiliza pia humo akizungumzia zao la kusini, pia nimefurahi sana kitu inaitwa ADUI..[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app

Nash kwenye nyimbo zake nyingi huwa anapasemea sana kwao kijijini Chigugu - Mtwara.

Zao la korosho limeumiza wanakusini wengi sana.

-Kaveli-
 
Same to reggae música
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…