Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Najua niwachache sana wanaomfahamu huyu jamaa nimefatilia mda mrefu alinikosha zaidi alipoandika nyimbo zake ambazo ni Tabia na mitihani kiukweli jamaa anaandika sana nashindwa kuelewa ni mziki wa bongo haumlipi au anahitaji mabadiliko kwenye beat za kisasa hili aweze kupata mashabiki wengi pia nashindwa kuelewa huyu jamaa anafanya mziki kama kazi au mapenzi nilimuona rapper sterio ngoma aliyofany wasafi ilibamba sana sijui kama nash atabadilika kama atahitaji kufanya mziki kama kazi