Nash mc namkubali kwa nyimbo mbili

Nash mc namkubali kwa nyimbo mbili

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Najua niwachache sana wanaomfahamu huyu jamaa nimefatilia mda mrefu alinikosha zaidi alipoandika nyimbo zake ambazo ni Tabia na mitihani kiukweli jamaa anaandika sana nashindwa kuelewa ni mziki wa bongo haumlipi au anahitaji mabadiliko kwenye beat za kisasa hili aweze kupata mashabiki wengi pia nashindwa kuelewa huyu jamaa anafanya mziki kama kazi au mapenzi nilimuona rapper sterio ngoma aliyofany wasafi ilibamba sana sijui kama nash atabadilika kama atahitaji kufanya mziki kama kazi
 
Huyo jamaa ni kimeo sana, huwa anajifanyaga mjuaji sana yaan kama yy ndo kaanzisha hiphop kumbe kula kulala tuu! hakuna wimbo wake wowote naoukubali
 
Hasi 13 pia ni kali kaongelea muziki na harakati zake zilivyokua kitambo na zilivyo sasa
 
Kwenye huu uzi nimeshaijua ID ya Nash ni vizuri lakini kujipa mashavu
 
ilee ngoma 'Mitihani' sio ya kitoto asee..alifanya poa pia kwenye 'Shujaa'
 
Back
Top Bottom