Nashangaa kwa nini watu wanaoana kwa harusi ya gharama halafu wanarudi kupanga!

Mie siwezi mdhihaki mtu Kisa Nini??
Kama unakera unakerwa
Nakama nachepuka na nyinyi mnachepuka si ndioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ndio tunarudi palepale likija suala la talaka mnataka 50/50)

Shida kwa nini tushindane...ndani ya nyumba niliyo ijenga mimi
 
Kumekucha kumekucha kumekuchaaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Unique Flower naona umeamua kuwakera πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sherehe ni mara moja, sasa unataka wajenge kwanza ndiyo waje kufanya sherehe ya ndoa? Uliona wapi ndoa yenyewe unapewa cheti kabla hujayaishi hayo maisha acha wafurahie harusi.
So
 
Hiyo ni hadithi ya kusadikika, binafsi nimeoa huko ulikotaja na wakati ninaoa sikuwa na kiwanja achilia nyumba ndo usiseme.

Kuna mtu ni muajiriwa either serikalini au kampuni flani, unataka kila anakoenda awe na nyumba yake asipange?. Hilo haliwezekani.

Mfano hapa Arusha vijana wenye sifa ya kuoa na wameoa wake zao wenye asili ya hukuhuku wengi wao tuseme zaidi ya 75% hawana nyumba zao wenyewe walizo jenga, ni either amepanga au anaishi kwenye nyumba inayomilikiwa na familia, taasisi, shirika, serikali n.k, wengi wanajenga wakiwa kwenye ndoa, hivyo ni ngumu kwa vijana wadogo hususani walioko mjini kumiliki nyumba kabla hajao ingawa wapo wachache waliojenga kabla ya kuoa.

Ungesema vijijini ni mhimu kuwa na nyumba kwa kijana kabla ya kuoa hakika hakuna ambaye angeshangaa hilo ila mijini nimezunguka karibu karibu Tanzania yote lakini vijana wengi wa mijini wanaanzia maisha kwenye nyumba za kupanga.

Ukiwa kijijini, ni ngumu kwa kijana ambaye hajaoa amiliki gari kabla ya kujenga nyumba lakini kwa mjini kuwa na gari kabla ya kuitwa baba mwenye nyumba ni suala kawaida sana.
 
Hata hapa Unique Flower hawezi kukuelewa bado πŸ˜†
 
Haya ilasio Og hupewi mke
 
Jengeni kwanza ndio muoane mtu akifa kwenye nyumba yakupanga mtaishije kama familia iliyokuwa inamtegemea Bora ambao hawana hela Sasa sherehe kubwa unapanga makubwa sherehe iwe ya budget kama Huna Pango hela zingine nunueni uwanja mjengee hii ni aibu
Wewe umejenga??

Kama kujenga ni rahisi hivyo sidhani kama kungekuwa na nyumba zinazopangishwa Tanzania hii.
 
hapo sawa nimekuelewa vizuri,,,ntalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…