Kipindi cha Magu mchele kilo iliku 2000 sasahivi 3500, kama mnakula kilo kwa siku means imeongezeka 1500 mara siku 30.
Maharage kio ilikua 2000 sasa 4500. Petrol imepanda, vifurushi vimepanda, sabuni ya jamaa tulinunua mchi 2500 sasa 3700, tambi 1200 sasa 1700.
Nyama ilikua 7000 kilo sasa 10000. Sasa jumlisha hili ongezeko kwa wiki then kwa mwezi utapata sio chini ya laki tatu. Maisha yamepanda wakati vipato havijapanda. Hapo hujaangalia vifaa vya ujenzi