Kuanzia wiki hii nimeanza km wewe Ni mwendo wa kuminya matumizi mpk end of year Bila hhivyo tunamaliza mwaka patupu...Ni mwendo wa savings tuila week hii kuna mbinu naztumia za ku quit ile overspending naimani ni tabia zangu ndo zina cost japo kweli nowdays Nina kafamilia ila sio cha kunichakaza million aisee..pumb
Mimi aisee wajomba wanisamehe habari za nitumie 20000 hapo sijui blah blah wanisamehe now Nina wadau watatu tu mama,bibi Na babu Na mama Mkwe kizaa chema hao 10000,10000 zangu wataziona...kampani ya pombe wanisamehe kwa kweli.Kuanzia wiki hii nimeanza km wewe Ni mwendo wa kuminya matumizi mpk end of year Bila hhivyo tunamaliza mwaka patupu...Ni mwendo wa savings tu
We endelea kushangaa hivyo hivyo.Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu...
Kuanzia wiki hii nimeanza km wewe Ni mwendo wa kuminya matumizi mpk end of year Bila hhivyo tunamaliza mwaka patupu...Ni mwendo wa savings tu
Na wewe ndo mkubwaMimi aisee wajomba wanisamehe habari za nitumie 20000 hapo sijui blah blah wanisamehe now Nina wadau watatu tu mama,bibi Na babu Na mama Mkwe kizaa chema hao 10000,10000 zangu wataziona...
Nikishinda hili maisha nimetoboa aiseeUsiwe Mwenye huruma sana kupitiliza SAA ya kuumia ukinasa umefulia uchungu moyoni unakushika wewe peke yako
Wanasema riziki zao zinapitia kwakoNikishinda hili maisha nimetoboa aisee
Aisee inawezekana ikawa kweli yaan Kuna muda najisemea kwann sifirisiki kwa vipanga Kama hivi but finally najikuta nipo sawaWanasema riziki zao zinapitia kwako
Sasa mbona huwa unakula vyakula vya hovyo sana?Dah aisee upo km Mimi awamu ya magufuli nilikuwa nakiduka cha reja reja mtaani nilifanikiwa mpaka kujenga kinyumba kidogo japo nilikuwa nakiwanja tayari, awamu ya sita nimepata kazi nzuri alhamdulillah sikosi M2 per month lakini hakuna la maana inaishia kuwa Na mipango mingi kichwani hela inapotea kama mshale ila week hii kuna mbinu naztumia za ku quit ile overspending naimani ni tabia zangu ndo zina cost japo kweli nowdays Nina kafamilia ila sio cha kunichakaza million aisee. Pumbaf pombe pumbavu Malaya hamnipati tenaaaa
HahahSasa mbona huwa unakula vyakula vya hovyo sana?
we mpambe nuksi tu huna lolote. Kamfuate chato kwenye nyumba yake ya milele. Umeweka tako kwa shemeji eti nilijenga. Poyoyo huwezi jenga hata hojaKipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu.
Matusi ya niniwe mpambe nuksi tu huna lolote. Kamfuate chato kwenye nyumba yake ya milele. Umeweka tako kwa shemeji eti nilijenga. Poyoyo huwezi jenga hata hoja
Kweli aisee hii awamu ngumu kinomaAngalia unga, Mchele, maharagi wakati wa JPM bei zilikuwa poa. Kinachosumbua ni mfumuko wa bei.
Unafuata hii kanuni ya kusevu 20% ya hiyo milioni kila mwezi mkuu?Dah aisee upo km Mimi awamu ya magufuli nilikuwa nakiduka cha reja reja mtaani nilifanikiwa mpaka kujenga kinyumba kidogo japo nilikuwa nakiwanja tayari, awamu ya sita nimepata kazi nzuri alhamdulillah sikosi M2 per month lakini hakuna la maana inaishia kuwa Na mipango mingi kichwani hela inapotea kama mshale ila week hii kuna mbinu nazitumia za ku quit ile overspending naimani ni tabia zangu ndo zina cost japo kweli nowdays Nina kafamilia ila sio cha kunichakaza million aisee. Pumbaf pombe pumbavu Malaya hamnipati tenaaaa
Aah wapi mkuu mambo online yanasemekana ila ingia field baba sio poa..sema nashukuru kakibanda kengine nimeanza nacho mdogo mdogoUnafuata hii kanuni ya kusevu 20% ya hiyo milioni kila mwezi mkuu?