Nashangaa Serikali na Bunge kununa kisa Wananchi wazalendo wamepinga mkataba wa Bandari

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.

Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.

Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.

Asubuhi njema.
 
vijana waliosoma masoma ya kiswahili, geography, kiswahili, uchumi na biashara kwanini hawakupa nafasi ya kuomba nafasi za uailmu? hii nchi itafika pabaya soon.
 
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.

Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.

Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.

Asubuhi njema.
Kuna kivumbi gani kwenye mkataba wa Bandari?

Kweli msongo wa mawazo ni tatizo kubwa sana nchini
 
Hawa hayawani waliotaka kuipora bandari yetu na kumpa mwarabu kwa bei isiyojulikana, kuna siku watajua kuwa wao ni hayawani, na kwamba wananchi katika ujumla wao wana akili zaidi ya mara 10 ya wao.

Mwarabu hataendesha bandari yetu kwa kupitia ule mkataba wa kishenzi.
 
Mwarabu anachotakiwa kupewa ni mkataba wa uendeshaji kama ule wa TICTS na si vinginevyo na nafikiri aina hiyo ya mkataba ataingia na TPA kwa niaba ya serikali na siyo nchi.
 
sure
 
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.

Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.

Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.

Asubuhi njema.
Hukuna mzalendo hata mmoja aliyepinga mkataba isipokuwa hao wanaooneka kuwa wanapinga mkataba ni kikundi kidogo kinachoongozwa na Mbowe kilicho na chuki dhidi ya Wazanzibar basi.
 
Walidhani Wananchi mazezeta.. Wameendelea kukombolewa kifikra tangia enzi za kupigania Uhuru na Utu wao
 
Nchi ishauzwa hii, nakusihi kazana kujipigia pale ulipo….. shauri yako.!
 
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.

Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.

Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.

Asubuhi njema.
Ndiyo madhara ya kuwa na bunge ambalo halikutokana na ridhaa ya wananchi maana wananchi wanajua kwamba hili bunge haliwezi kuwawakilisha ndiyo maana kelele zimekuwa nyingi linawakilisha CCM
 
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.

Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.

Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.

Asubuhi njema.
Napenda kuwaona serikali wamenuna mpaka wapasuke puuuu!
 
Si yuko kanda ya maji anakagua mipaka ya bandari au anafanya nini huko. Akitoka hapo anaelekea mkoa mwingine wenye bandari.
 
Back
Top Bottom