RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache.
Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue inaongoza watu na siyo wanyama. Kwa sasa naona Prof. Makame Mbarawa anatembelea viongozi wa dini ili tu afanikishe uchafu alioufanya katika mkataba wa bandari.
Mimi nasema hivi viongozi wa dini huwezi kuwageuza hata siku moja hawapo tayari kusaliti wananchi, tambueni mmekosea mtubu dhambi na mkataba usitishwe. Hizi media mnazotumia kupotosha uhalisia uliopo hakuna kitu chochote mtafanikisha.
Asubuhi njema.