Cde Nyakumosa
New Member
- Sep 29, 2022
- 1
- 5
NDUGU ZANGU, TUACHE PROPAGANDA ZA MITANDAONI KUCHAFUA WATU NA KUJADILI WATU, TUUNGANE PAMOJA KUPAMBANA NA HALI YA UKATILI NCHINI KUPITIA JUKWAA HURU LA SMAUJATA UWE SHUJAA WA JAMII HALISI,
JIUNGE NA WATANZANIA WENGI WALIOJIUNGA KATIKA KAMPENI HURU YA KUPINGA NA KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.
Chini ya Mwenyekiti wake
~ Sospter Mosewe Bulugu
KATAA UKATILI, WEWE NI SHUJAA 💪🏾*
*(Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA)
forms.gle
JIUNGE NA WATANZANIA WENGI WALIOJIUNGA KATIKA KAMPENI HURU YA KUPINGA NA KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.
Chini ya Mwenyekiti wake
~ Sospter Mosewe Bulugu
KATAA UKATILI, WEWE NI SHUJAA 💪🏾*
*(Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA)
FOMU YA USAJILI: KAMPENI YA SHUJAA WA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII
Shirika la Responsible Society Organisation (RSO) kwa ushirikiano na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kuratibu Kampeni ya wananchi wazalendo ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii (SMAUJATA). Kampeni hii ni huru na ya kujitolea na inahusisha watu wote...
forms.gle