Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

NDUGU ZANGU, TUACHE PROPAGANDA ZA MITANDAONI KUCHAFUA WATU NA KUJADILI WATU, TUUNGANE PAMOJA KUPAMBANA NA HALI YA UKATILI NCHINI KUPITIA JUKWAA HURU LA SMAUJATA UWE SHUJAA WA JAMII HALISI,

JIUNGE NA WATANZANIA WENGI WALIOJIUNGA KATIKA KAMPENI HURU YA KUPINGA NA KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.

Chini ya Mwenyekiti wake

~ Sospter Mosewe Bulugu

KATAA UKATILI, WEWE NI SHUJAA 💪🏾*
*(Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA)
 
Mayor ache kuiongopea jamiii ya watanzania wazalendo chakufanya wewe pambana na ukatilii ili jamiii yako au yetu Iwe salama
 

mnasema eti ni waziri mzuri .hahahahahah

msomi gani unajifukiza bila ya kuwa na research kujua kama kujifukiza kunasaidia? msomi gani ulazimisha chanjo uya coronona wakati unajua kuwa chanjo bado iko kwenye clinical trial ? acheni kusi
 
Kwakwel waziri wetu Dorothy Gwajima amefanya mengi makuu, anastahili pongez na mnao furahia sidhan Kama mna uelewa mpana zaidi,but all in all kabla ya kutoa kibanzi katika jicho la mwenzio tizama lako kwanza
 
mnasema eti ni waziri mzuri .hahahahahah

msomi gani unajifukiza bila ya kuwa na research kujua kama kujifukiza kunasaidia? msomi gani ulazimisha chanjo uya coronona wakati unajua kuwa chanjo bado iko kwenye clinical trial ? acheni kusi
Wizara ya Afya ina kitengo maalumu kabisa cha TIBA ASILIA na kina Mkurugenzi wake na analipwa mshahara na marupurupu yote ya serikali. Be informed
 
mm si chawa lakini naunga mkono watu wateuliwe kutokana na profession zao hata kama si gwajima lkn awe na taaluma hiyo.ni rahisi kwa watendaji wa chini kumislead kiongozi wa juu kama hana taaluma husika.
 
Baada ya kubainika madiudu yake kakulipa kiasi uje hapa jukwaani kumtetea wewe mnufaika wake? Hivi hukumwelewa Askofu Josephat Gwajima alipomsimamisha baba yake na kumhoji kama anamkubali mkwe wake na alijibuje?

Yaani huyo unaye mtetea kwa usanii ndio angesaidia? Muda aliokaa wiara si angekuwa ameshasaidia sana!!! tena bahati yake ilikuwa atemwe mazima na huenda huko mbeleni akatupwa nje ya dirisha kabisa
 
Mmhh?!! Mbona Leo!!??
 
Ummy nadhani ana godfather kwenye system ila hana sifa ya uwaziri.
Ile nafasi na nafasi yyte ya waziri ni nafasi ya kisiasa, hata darasa la saba anayejua kuongea, kumsikiliza aliemteua anataka nini basi anaweza kushika nafasi hii. Wewe na usomi wako kwa katiba hii kama huwezi kusikiliza mamlaka inataka nn na sera zake basi ujue utaonekana hufai katika hiyo nafasi.
 
Je amekutuma ulete uzi hapa?!
Muulize mwenye kuwaweka!!
 
Matusi ya nini wewe kuhusu kiumbe alichoumba Mwenyezi Mungu?! Wewe ni mkamilifu?!
 
Turejee kwenye mada:
Mleta mada umelalamika zaidi, nilitegemea ujenge hoja za kuwatofautisha kiutendaji kuliko ulivyowasilisha.

Tuletee hoja 1, 2, 3 nk... kwa mifano hai (natambau ipo) kwa nini Dr. Gwajima alifaa kupewa muda zaidi kuijenga sekta ya afya.

Ila kiuhalisia, ukiachana na mapungufu yake kuna jambo moja aliliweka sawa kwenye sekta ya afya ambalo sasa limeanza kurudi nyuma nalo ni, "UWAJIBIKAJI WA WATUMISHI."

Na ndio maana walimchukia, nawajua watumishi wa umma wanapenda viongozi "Laissez-faire." Sasa hivi huduma zimekuwa za hovyo sana, tumerudi nyuma na wizara inapaswa kujitafakari na kutengeneza mfumo kama ambao alikuwa anauweka Dr. Gwajima wa kuwadhibiti watumishi japokuwa uliuma!

....
 
Nadhani huyu Hajuwi tafauti kati ya uongozi na utaalamu wa mifupa.

Sio kila Dakitari au muuguzi anaweza kuongoza.

"UONGOZI NI FANI MAALUMU"

mwambie Gwajima aliyekutuma
 
Hata kama kuna kitengo cha tiba asili bado huwezi ku-advocate tiba asili huku uki-discredit maelezo ya kitalaamu!!

Steaming aliyokuwa anaia-advocate HAIUI virus, na wala sio kinga bali una matatizo ya kupumua, steaming inasaidia "kusafisha njia" ya upumuaji!

Na ninaposema matatizo ya kupumua, simaanishi just COVID-19 kama ambavyo akina Dr. Gwajima walibadilisha neno COVID-19 na kututaka tuite eti ni changamoto ya kupumua!!
 
Haaminiki tena watanzania wenye akili zetu tuligundua hafai wakati wa awamu ya kujipendekeza awamu ya 5 kwakifupi hafai kuwa kiongozi kabisaaaaaa!!!!

Mtaalamu gani alishiriki kuudanganya umma wa watanzania akiwa na yule zuzu mwingine wa kimasai alie fukuzwa kule akakimbilia huko

Seriously unamtetea mtaalamu muongo unajua kuwa mtaalamu muongo ni muuaji hafai kabisa Toyota Corona tu alitudanganya je ikija Toyota Carina si atatuua kabisa yule hafai kuongoza hata hospitali ya kata
 
Mbona kuandika tu hujui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…