Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,364
- 7,987
Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati.
Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa tano unalegezewa kidogo na kuchanganywa akili kwa vitu vya kijinga unasahau mateso alafu baada ya uchaguzi tena unarudishiwa msoto wako.
I told wadau fulani kwamba tuliachiwa umeme bila adha ya kukatika siku nzima kwa kipindi cha mwaka mzima lakini tutarejeshwa kwenye umeme kukatika baada ya uchaguzi kupita wakanichukulia poa.
Sasa hivi tuna mwezi tu baada ya uchaguzi na shughuli zimeanza, Ni mwendo wa kuteseka tu hadi akili itukae sawa maana kuna mawatu akili hayanaga kabisa wala hayajui kutafakari, Yanaenda na upepo hali ikitulia yanalegea yanaona mambo shwari.
Uzuri tunateseka wote basi mororo ila nachukia sana wazazi kunizaa katikati ya wapumbavu wengi.