Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lia na wanalia
Naunga mkono hoja! Na hata jana baada tu ya kile kichapo, nilitoa ushauri wa aina hii.Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anajua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
Nlianza kutia shaka uwezo wa huyu kocha baada ya kulazimisha Sure boy acheze holding midfielder! Sure boy mtam akicheza namba 8!Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anajua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
Nabi aliwapa nafasi akina Job na Bacca na Sasa ndo mabeki tegemeo wa timu ya TaifaNaunga mkono hoja! Na hata jana baada tu ya kile kichapo, nilitoa ushauri wa aina hii.
Sema tu kwa kuweka kumbukumbu sawa; Farid Mussa alifanyiwa upasuaji. Hivyo bado atakuwa hajapona.
Na kuhusu Kibwana Shomari, nadhani kukaa benchi muda mrefu kumempotezea uwezi wake wa kujiamini. Mechi yake ya mwisho kucheza, nilishuhudia mapungufu mengi ya kiulinzi kutoka kwake.
Upo sahihi kabisa yaan Yanga wanachofanyiwa ni kujaziwa msitu wa wachezaji kwenye goli pinzani wanakosa pa kupita sasa wanatumia mfumo wa kutaka kupita pale pale kati na kutaka kuzama kwenye box huku wakipasiana wakati wanatakiwa kuachia mashuti nje ya 18 tu goli linaingia ila wao wamekazana wanataka wakafunge mbele ya kipa hio ni ngumu wabadirishe mfumo mambo ya pass pass mpaka kwenye box ni uboya nje ya box pale pale wakipata mwanya waachie madongo lazima goli liiingie jana wamepoteza nafasi nyingi za magoli ya nje ya box kisa mipass pass mpaka ndani ya box mipass pass mpaka ndani ya box ya nini waachie madongo hata nje ya box tu goli lazima liingieNahisi kama Kuna ukweli ndani yake ,ukiangalia Kwa makini Yanga now days inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo na ni kama Kila timu zimejua tactics za Yanga na simply wakipaki basi hakuna goals,wachezaji wako busy kutafuta direct penetration kwenye msitu wa wachezaji hakuna cross za gombania goal
Mkuu kaaa kwa kutulia. Kazi ya ukocha sio rahisi kama unavyodhani.Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anaua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
Kwanini mnaingia gharama kuajiri makocha iwapo kuna mashabiki mnajua hivi?Upo sahihi kabisa yaan Yanga wanachofanyiwa ni kujaziwa msitu wa wachezaji kwenye goli pinzani wanakosa pa kupita sasa wanatumia mfumo wa kutaka kupita pale pale kati na kutaka kuzama kwenye box huku wakipasiana wakati wanatakiwa kuachia mashuti nje ya 18 tu goli linaingia ila wao wamekazana wanataka wakafunge mbele ya kipa hio ni ngumu wabadirishe mfumo mambo ya pass pass mpaka kwenye box ni uboya nje ya box pale pale wakipata mwanya waachie madongo lazima goli liiingie jana wamepoteza nafasi nyingi za magoli ya nje ya box kisa mipass pass mpaka ndani ya box mipass pass mpaka ndani ya box ya nini waachie madongo hata nje ya box tu goli lazima liingie
Kingine kuna wachezaji hawatakiwa kuanza dakika 45 za kwanza nimewaona jana wakianza wanapoteana mfano mdogo Aziz Ki Pacome Maxi hawa inabidi watokee bench ila Gamond sijui haoni au anafanya makusudi tu Chama Dube Mzize hawa inabidi waanze dakika 45 za kwanza ukiangalia mechi nyingi ambazo Aziz Ki Maxi Pacome wametokea bench ushindi lazima kwa Yanga ila Gamond sijui hili halioni au anafanya makusufi tu
Chama Dube Mzize wanatakiwa waanze kipindi cha kwanza dakika 45 kisha cha pili Maxi Pacome Aziz Ki waongezee pumzi na akitaka kumuongeza Baleke amuingize kipinda cha pili dakika za mwishoni hapo lazima Yanga ishinde tu kinyume na hapo Yanga itakua inachezea magoli kwa kwenda mbele
Kingine Gamond awahimize wachezaji wawahi kurudi golini wanaposhambuliwa sio wanabakia nyuma wakati wakiwa wanashambuliwa huku nyuma kunakua hakuna mtu timu haina mabeki kwa hio inabidi wajue hilo sio wanabaki nyuma wakiwa wanashambuliwa watafungwa sana kila mechi maana wengi wameshawasoma mfumo wao ulivyo Mwamnyeto na Aucho peke yao hawawezi kuzuia goli lisifungwe mbele ya wachezaji 7 wa Tabora wanaopigiana pass huku na huku kuwatoka lazima goli liingie
Kingine Diarra aongezewe mazoezi ya kudaka jamaa hafuati mipira kabisa magoli ya jana yote hakuna hata 1 alilofuata mpira, ukiangalia kipa wa Tabora aliedaka ile penati ya Aziz Ki utagundua kitu yule kipa anafuata mipira ila Diarra mipira anaiacha iingie golini afuaati mpira hata kuruka haruki sana sana atarukia mipira inayopigwa juu kudaka, kwa uzuri ukiangalia goli la pili km sio la tatu lile goli ambalo Mwamnyeto na Aucho walikua wanajaribu kuzuia wakati Tabora washafika golini kwa Yanga wakipasiana pale Diarra angeruka kufuata mpira angeupangua na lingekua sio goli labda yule mchezaji wa Tabora angelazimisha kufunga tena
Kingine Nickson Kibabage anajituma sana jana amecheza kwa kujituma kweli kweli ila ndio hivyo tu mmaliziaji wa goli hakuwepo, tukija kwa Chama Sureboy Mzize Pocome Maxi hawa inabidi waachie madogo kila wanapolikaribia goli Aziz Ki mara nyingi amekua akipiga madongo ila madongo yake yanakua hayana faida yoyote anababatiza mtu mpira anambabua sasa hio haileti goli
Yaan mapungufu ni mengi sana wachezaji wa Yanga wanafika goli la Tabora wanaanza kuogopaa kufunga goli wanazungukia tu hapo hapo kwa hio Gamond aelekeze hilo, wachezaji wasipoteze confidence uwanjani maana sasa kila timu imeamua iwakazie na kuwakamia na wenyewe wanatakiwa wakamie bai ene minzi goli lazima liingie lazima wafunge kivyovyote tu wakicheza kurembaremba ndio wanaishia kufungwa fungwa tu, golini wakifika wasilembeee waachie madongo golini waache mambo ya penetration pass mpaka ndani ya 18