Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Red cross Pia😁😁😁
😁😁😁labda iandikwe viwanda
Hizo za mchina zina swaga gani wakati ndio zinapondwa zina "msalaba"?
Tusikariri kuwa rangi za bendera lazima ziwepo ktk jezi.Rangi Nyeupe Ya Nini Wakati Rangi Za Taifa Zipo(brand National Colours). Ingependeza Zaidi Blue Na Njano, Nyeusi Na Kijani Au Njano Na Kijani. Huo Weupe Hauleti Maana Kitaifa