Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?

CC Zero IQ
We nawe nyoko zako .... Umeona hilo tu .....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji1][emoji1][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana ni kama unamwita Dada yangu ......... aje
Sitaki kumtaja hata jina maana najua kiwango chake cha ligi sio cha nchi hii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakimaliza malalamiko ya misalaba watakuja mbona zina rangi za yanga?
Ambaye hataki asivae, zipo jezi za rangi zingine pia.
 
Yaani watu ni kujihisia tu.Nani aliwaambia huo ni msalaba?What if ni alama ya kujumlisha tu.Mbona mkiwa mnafanya hesabu za kujumlisha hamkuwahi kulalamika kuwa ni msalaba?
 
Kisms kilikuwa cha utani nashangaa imekuwa mjadala

CC Zero IQ
 
iyo ni alama ya kujumlisha
hasa hasa idadi ya magoli yote.

hata hivyo bado hata ungekuwa ni msalaba,timu yenyewe ni msalaba...na inahitaji ukombozi

Kwaresma njema!
 
Tumesema sana mpaka makoo yamekauka. Huyu jamaa Paulo Makonda kumuingiza kwenye kila kitu ni kuleta nuksaadi na migogoro isiyo na maana.
Wamebuni jezi za kuvaa washangiliaji na wananchi wote wenye mapenzi mema. Lakini wameweka alama ya Msalaba bila kutumia akili kuwa alama hiyo inaweza kutafsiriwa vibaya na waumini wa Kiislamu na wakristo na kuleta mgawanyiko kama ambao tayari unajadiliwa mitandaoni.
Hiyo ndio hasara kumpa jukumu zero brain maana hana uono wa mbali hata kidogo.
Naiona mechi hii ikiwa na mgawanyiko mkubwa kuliko awali kabla hili dude liitwalo kamati kuundwa.
Niwaombe tuu ndugu zangu waislamu wasamehe suala hilo kwani haikuwekwa kwa makusudi mabaya ya kuwatenga bali ni akili za wahusika kuwa ukomo mfupi.
 
Hii mechi tukifungwa Itapendeza sana

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Kuna kongamano linaendelea hapo Ukumbi wa Kimataifa qa mikutano wa Mwl. Nyerere Dar, nimemsikia sheikh mmoja jina sikulishika ameongelea kuhusu kutunza Amani kwa upande wa dini/madhehebu.

Nadhani mtoa mada na wale wote wanaojioa mhanga kueneza udini kwa alama hiyo kwenye jezi nlipaswa kusikia maneno ya huyo sheikh.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…