Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Yaani watu ni kujihisia tu.Nani aliwaambia huo ni msalaba?What if ni alama ya kujumlisha tu.Mbona mkiwa mnafanya hesabu za kujumlisha hamkuwahi kulalamika kuwa ni msalaba?
si zungumzii dini ila alama ya kujumlisha hua inagawa semu mbili za kufanana na sio kma msalaba kuwa sehemu ya chuni kua kubwa
 
Aishi mwachie Bokko au Mkude adake kama jezi yenyewe ndo hii
 
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…