Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Waweke ya mwezi na nyota itapendeza
 
sijui nduguzanguni wakristo mnajisikia faraja gani kutaka kuwavalisha watu wengine msalaba,mimi sioni hata hiyo faida itakayopatikana iwapo mbwana samata kwa mfano atavaa hizo sare,lakini sioni logic ya aliebuni hiyo sare zaidi ya kutafuta maneno ya watu
 
Ufinyu wa mawazo ni kulalamikia kitu ambacho hakina madhara kama pattern kwenye nguo...sijui hata mna akili gani nyie watu
 
Kama huoni faida ukiivaa je umewezaje kuona hasara yake kama ukiivaa?

Sent using unknown device
 

Me naona sisi ndo tumetafsiri msalabaa na sio mtu aliyebuni izo jezi, usikute aliyebuni izo jezi yy aliweka kama kuongeza nakshi tu jezi ipendeze, iyo point ya msalaba naona haina mashiko, then mbona magari ya msalaba mwekundu hayapigwi marufuku kama ni udini?
 
Jezi zina utata tayari si ajabu zisivaliwe kwani baadhi wameshaanza kuzipiga vita.

 
sioni faida inayopatikana kwa kuwafisha watu tshirt ya msalaba,japo ni dalili mbaya kwelikweli kuhusu bongo za watu walio order hizi tshirt
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…