Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
Mi nimeshaichoma moto hiyo jezi nilivoigundua.
 
TUSILAZIMISHANE KAMA HAMTAKII VAENI HIJABU [emoji847][emoji847]
FB_IMG_1553354758512.jpg
FB_IMG_1553354750188.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
FB_IMG_1553356931918.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitumike tu Na Uwanjani tujenge alama ya kujumlisha kubwa na Bia pembeni yake. Maana msalaba unaendana na pombe ndio maana jezi zna msalaba na mkishinda pombe nusu bei


Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua pombe zinanywewa na wakristo tu basi hapa tanzania viwanda vya bia vingefilisika

Ungejua kwenye makampuni ya bia watumishi wanaofanya kazi sio wakristo tu bali hata waislam nao wanashiriki kuhakikisha bia imetengenezwa

Sent using unknown device
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom