Yeye alipojenga msikiti akijua wazi kabisa kunankiwango kikubwa cha mashabiki wake waliomfikisha hapo si waislam, si angejenga hata Zahanati, sasa atake asitake ndio atavaa huo msalaba sasa.
Mi nimeshaichoma moto hiyo jezi nilivoigundua.Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
kwahyo ukristo ni haram?
Nyie ndio wale kule zenji mpo tayari kuwapiga viboko wanyamwezi waliovaa vimini wakati huohuo wachina wanawatuma kupeleka kitimoto majumbani kwaoUkristo ni ukafiri
Mbona mimi mwenyewe ni mtu wa imani tofauti lakini sijaona tatizo kwenye hii jezi?watu wengine wa imani tofauti wanakereka,anyway tusiongee sana pengine hii ni photoshop,tusubiri siku ya mechi tutaona
Dini imekukataza kuvaa misalaba ila imekuruhusu kutukana wengine Mkuu?You clumsy little fool
You clumsy little fool
You ho
You hopeless deluded Idi.o.t u dont deserve an answer
Mkuu, kuanzisha Uzi kunahitaji uvumilivuBe silent. Keep your forked tongue behind your teeth. I have not post this thread to bandy crooked words with witless worm.
Ingekua pombe zinanywewa na wakristo tu basi hapa tanzania viwanda vya bia vingefilisikaZitumike tu Na Uwanjani tujenge alama ya kujumlisha kubwa na Bia pembeni yake. Maana msalaba unaendana na pombe ndio maana jezi zna msalaba na mkishinda pombe nusu bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako makali...Ukristo ni ukafiri
Ukristo ni ukafiri.Ukristo ni ukafiri
Taja mambo ya kikafiri ambayo wewe hufanyi.....Maneno yako makali...